nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,615
haaahaaa hata watanzania wote wakahamia chadema bado jpm atashinda kwa kishindo kwa tume hii ambayo wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi..
Ingelikuwa nchi za wenzetu (western countries) ungelikuwa sahihi. Lakini tunaongelea Tanzania Na watanzania . Tabia zetu watanzania ni tofauti sana western countries. asilimia kubwa ya wapiga kura huwa hawajui hata sera za chama wanachopigia kura Kwa upande wa Tanzania.nchi inaendeshwa Kwa mihemuko Na wananchi wanafanya maamuzi Kwa mihemuko.For a critically thinking leader, Wema sitting next to a political party chairman is a suicidal miscalculation. This clearly shows that CDM is right now like a ship without a captain. It will head anywhere and finally nowhere.
Sasa mbona walia? Mwacheni atumie uhuru na haki yake kuhamia anakotaka wakati anaotaka. Hata wewe pia watakiwa kuongozwa na utashi wako tu na sio makelele ya matakwa ya kishabiki ya watu wengine. AmenHakuwafaa Edo, Wema atasaidia nini?
Mi naona ameamua kuhamia nyumbani tu, nyumba ya madawa...
Tumeshuhudia mihemuko ilivyowapa wapinzani Kura nyingi 2015 ukilinganisha Na miaka mengine hii ni Kwa Sababu ya lowassa ambaye kashfa zote za ufisadi alikuwa nazo yeye.Ingelikuwa nchi za wenzetu (western countries) ungelikuwa sahihi. Lakini tunaongelea Tanzania Na watanzania . Tabia zetu watanzania ni tofauti sana western countries. asilimia kubwa ya wapiga kura huwa hawajui hata sera za chama wanachopigia kura Kwa upande wa Tanzania.nchi inaendeshwa Kwa mihemuko Na wananchi wanafanya maamuzi Kwa mihemuko.
Kizazi chako kilikuwa ni cha Mafarisayo waliojaa ubaguzi hadharani na kujifanya wao ni safi hawana dhambi, lakini (USIKU) wanashinda kwenye nyumba za wajane.For a critically thinking leader, Wema sitting next to a political party chairman is a suicidal miscalculation. This clearly shows that CDM is right now like a ship without a captain. It will head anywhere and finally nowhere.
kwa utaratibu huu unaoendelea wa awamu ya tano hakuna haja ya kutumia hela nyingi ktk kampeni maana wanatekeleza vilivyo yale ambayo wapiga kura wa CCM waliyataka ambayo ni kuwasomesha number wapinzani,Hakuna kipya walichoongeza wapinzani tenainawezekana ikwa ndio mwanzo wakuporomoka kwao 2020
Uamuzi wa msanii nguli wa sanaa WEMA SEPETU kwenda chadema hautakuwa na athari yoyote KWA CCM kwa sababu zifuatazao.
- Sababu zilizosababisha CCM kumtumia WEMA 2015 na wasanii wengine hazitakuwepo 2020.Wema na wenzake walitumika kwa kuwa CCM ilitaka kuvuta hadhara ya watu kumwaga sera lkn 2020 haitakuwa na sababu ya kutumia wasanii kwasababu itakuwa imetekeleza sera zote ILIZOZINADI , na wananchi wameona kwa vitendo ( VIWANDA itakuwa vimejaa kila kona ya nchi, waliokuwa wanaishi kama MASHETANI (masikini) ambao ni wengi tunatagemea watakuwa wanaishi kama MALAIKA ifikapo 2020.
Angalizo ( sheria ya uchaguzi wa TANZANIA mpiga kura ni mtanzania yoyote ambaye ametimiza miaka 18 -bila kujali ni kilaza au sio kilaza)
- Pia wema alitumika na CCM 2015 kwakuwa alikuwa na wafuasi wengi katika mitandao ya KIJAMII (instagram, facebook n.k) lkn kutokana na VIJANA wengi watakuwa busy na AJIRA zitakazokuwa zimemwaga na serikali makini ya CCM kupitia VIWANDA idadi ya wafuasi wa wema ITAKUWA zero wakati huo kwa hiyo CHAMA CHA CCM kitakuwa salama.
- Mwisho wa yote inavyoonyesha wafuasi wengi wa WEMA ni VILAZA kwahiyo kutokana na SERA ya serikali hii ya kuhakikisha inaboresha ELIMU (kufukuza hata wanafunzi waliokuwa mwaka wa pili na watatu vyuoni) tunaamini 2020 hakutakuwa na kilaza wa kumfuata WEMA kwahiyo pia CCM Itakuwa salama
TAFSIRI YA KILAZA
KILAZA SIO CHIZI BALI NI MTU YOYOE AMBAYE HAJAPATA DIVISION 1 NA 2 KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA SITA .
na mwandishi wa habari hii pia ni kilaza maana sikupata division 1 na 2 kwa matokeo yangu yote ya kidato cha 5&6.
mipango ya baadae haitokuwa tofauti na mipango ya zamani au ambayo inatumiwa na viongozi wa africa au kama mipango iliyotumika kwa jirani zetu wazanzibar na hili ndio linalompa nguvu mkuu kwa kuwapa motisha zaidi majeshi waogopwe. lakini kwa kuwa watanzania ni wavumilivu(vilaza) CCM itashinda kwa kishindo kama ilivyoshinda 2015Yaani hujui kabisa unachoongea ni kama kutafuna mavi. Haya mambo wewe yako mbali sana nawe na wala hujui kwa nini waliwatumia wasanii na hujui mipango ya baadaye, kumbuka wewe sio msema hovyo wa chama
Ni sawa, wawachukue pia Azan na Manji.Sasa mbona walia? Mwacheni atumie uhuru na haki yake kuhamia anakotaka wakati anaotaka. Hata wewe pia watakiwa kuongozwa na utashi wako tu na sio makelele ya matakwa ya kishabiki ya watu wengine. Amen
That is the kind of madness i talked about. However this is fast changing and any political,party that does not recognoze this change and act accordingly will be swept under the bus. A good reminder is the 2015 elections.Ingelikuwa nchi za wenzetu (western countries) ungelikuwa sahihi. Lakini tunaongelea Tanzania Na watanzania . Tabia zetu watanzania ni tofauti sana western countries. asilimia kubwa ya wapiga kura huwa hawajui hata sera za chama wanachopigia kura Kwa upande wa Tanzania.nchi inaendeshwa Kwa mihemuko Na wananchi wanafanya maamuzi Kwa mihemuko.
Ushindwe na ulegeeeeee Gamba weeeeeeeeeeHakuwafaa Edo, Wema atasaidia nini?
Mi naona ameamua kuhamia nyumbani tu, nyumba ya madawa...