Uaminifu kwenye ndoa

kuna kitu unataka kukisema ila unaficha ficha inaonekana baba watoto wako katoa 500K kwenye account yenu ya joint venture bila kukutarifu lengo na dhumuni
 
joint account iliniletea mtafaruku mkubwa sana,, bora ilijifia yenyewe....kuoana sio ndio kipimo cha 100% cha uaminifu, bali ni hali inayofikia baada ya kupitia vipindi tofauti vya mahusiano, na kukubali kuoana........kila mtu anayo mitabia yake ya hukooooo....mtawekana wazi vikitu simple simple...tena sana sana mahusiano ya past....but vile vikuuu tunahifadhi kumoyo....
 
Pesa siyo kipimo cha uaminifu.

Kuna watu wana hela na wanatoka nje ya ndoa. Mama akija juu kwanini unafanya hivyo anakuuliza ni kitu gani unakosa.

Joint account ni rahisi kucheck debit na credit lakini ngono mtu akioga akakutizama machoni utajulia wapi.
Mkuu tulichoongelea hapa ni kwamba kama wewe na mke wako mnashirikiana na mmeaminiana kiasi cha kufungua account ya pamoja. Utamueleza kila toleo ulilolifanya na lilikua kwa madhumuni gani?
 
joint account iliniletea mtafaruku mkubwa sana,, bora ilijifia yenyewe....kuoana sio ndio kipimo cha 100% cha uaminifu, bali ni hali inayofikia baada ya kupitia vipindi tofauti vya mahusiano, na kukubali kuoana........kila mtu anayo mitabia yake ya hukooooo....mtawekana wazi vikitu simple simple...tena sana sana mahusiano ya past....but vile vikuuu tunahifadhi kumoyo....
Ni kuwa wazi tu hata kama mnaweka 20,000 kila mwezi lakini zinapohitajika kuwa wazi kueleza matumizi yalikuaje.
 
kuna kitu unataka kukisema ila unaficha ficha inaonekana baba watoto wako katoa 500K kwenye account yenu ya joint venture bila kukutarifu lengo na dhumuni
La hasha mkuu, ukweli jana kanisani mama chungaji alitupa somo wanawake juu ya kuwaamini wenza wetu, na hili wazo nimelala nikiwa ninaliwaza.
 
I know ni theory lakini it can be applicable, kwa msaada wa Mungu mkuu. Kupata mke mlevi ambae anasahau kweka akiba ni shetani na anahitaji kukemea.
Pamoja sikutaka kuharibu mjadala wenu ila nilibold umeharibu hoja yako. Tunatumia hoja hizi pale tunapokuwa hatuna tena uwezo wa Kujenga hoja.
 
Siwezi ishi na mtu nisie muamini
Tena uaminifu ukiwepo hata ukikuta laki tano imeondoka unajua alikua na sababu ya msingi wala huulizi, unaweza kuuliza tu kama sio kosa la bank.
 
Elimu ya watoto kuna junior account siku hizi na mipango ya maendeleo ni makubaliano tu na kuwa committed. Ila haya mambo ya joint account haya jamani, shetani aweza kuwakosa kooote awapatie huko huko kwenye faranga aka mkwanja. Pesa kitu cha ajabu sana.
 
Kukiwa na discipline joint account inaokoa sana.
 
Pesa iliyopo kwenye joint account haitakiwi kuguswa na yeyote yule kati ya wana ndoa labda kuwe na kifo au ugonjwa serious ndani ya family ya wanandoa au baba/mama wa mke/mume.

Vinginevyo kukiwa hakuna discipline ya kuchukua pesa hiyo kwa jambo linaloeleweka kama nilivyoelezea hapo juu basi huweza kuleta mtafaruku ndani ya ndoa.
 
Mkuu tulichoongelea hapa ni kwamba kama wewe na mke wako mnashirikiana na mmeaminiana kiasi cha kufungua account ya pamoja. Utamueleza kila toleo ulilolifanya na lilikua kwa madhumuni gani?
Ni sawa mama mchungaji.

Unaweza ukawa unamwamini mtu asilimia mia lakini hana akili za maendeleo. Akienda kariakoo ni kununua dhahabu na nguo. Ila ni mwaminifu asilimia 100.

Huyu naye mnaweza kuwa na joint account?

Huu uaminifu unawasaidia nini?
 
La hasha mkuu, ukweli jana kanisani mama chungaji alitupa somo wanawake juu ya kuwaamini wenza wetu, na hili wazo nimelala nikiwa ninaliwaza.
Katika ndoa sumu ya kwanza ni fedha. Uzoefu nilionao ni kuwa Mwanaume unatakwa kuwa Na majukumu yako Na mwanamke yake katika ndoa. Masuala ya kuchanga huleta mitafaruku katika ndoa. Jukumu la shelter Na usafiri wa familia ni jukumu la Baba Na Kama mama KWA hiari yake akipenda anaweza kuchangia. Masuala ya joint account ni kufikirika maana ukimtumia mama yako hela akijua atakueleza Na yeye atume kwao mara mbili. Kila mtu Na account yake Na ni vyema usijue ana kiasi gani. Hapo ndoa itasonga mbele. Kuhusu watoto lazima Baba ajue jukumu la mama ni kulea mimba ila kuvalisha au gharama za kupeleka mtoto shule ni jukumu lake.
 
Ni sawa mama mchungaji.

Unaweza ukawa unamwamini mtu asilimia mia lakini hana akili za maendeleo. Akienda kariakoo ni kununua dhahabu na nguo. Ila ni mwaminifu asilimia 100.

Huyu naye mnaweza kuwa na joint account?

Huu uaminifu unawasaidia nini?
Mkuu kweli mapaa ya nyumba yanaficha mengi, bado hajatoa hela ya mkole:p
 
Kwa wale walioko kwenye ndoa, neno uaminifu ni silaha kubwa kwenye mahusiano. Uaminifu ninao uongelea hapa leo maana yake ni 100% kwa mwenza wako. Hii inamaanda kuwa wazi na kipato unachopata na jinsi ya kutumia.

Inashauriwa wanandoa kuwa na account tatu yaani kila mtu anakuwa na account ambayo mshahara au pesa za biashara inaingia kila mwezi. Baada ya hapo kunakuwa na joint account ambayo mnakubaliana kuwa kila mwezi wote wawili ni kiasia gani kitaingia. Hii inarahisisha mipango mikubwa ya maendeleo huko mbele, kama kununua kiwanja au gharama za elimu kwa watoto.

Kwenye hii joint account, inashauriwa kuwe na discipline ya kuchukua pesa. Kama uhusiano wenu unabaraka zote na mnaishi kwa amani, hata unapoona mume ametoa laki tano juzi kutoka kweny joint account, utafahamu ni za nini au alishakutaarifu. Sasa pale laki tano inapotoka kumsaidia mama wa mchepuko ndio hatari.
Ni kosa kubwa sana kuwa na joint account. Ninashauri kila mmoja awe huru. Ukweli huwezi kumfikiria mwenzako uaminifu haupimwi. Siku mkokosana ndiyo utajua maana ya hiki ninachokisema hapa.
 
Katika ndoa sumu ya kwanza ni fedha. Uzoefu nilionao ni kuwa Mwanaume unatakwa kuwa Na majukumu yako Na mwanamke yake katika ndoa. Masuala ya kuchanga huleta mitafaruku katika ndoa. Jukumu la shelter Na usafiri wa familia ni jukumu la Baba Na Kama mama KWA hiari yake akipenda anaweza kuchangia. Masuala ya joint account ni kufikirika maana ukimtumia mama yako hela akijua atakueleza Na yeye atume kwao mara mbili. Kila mtu Na account yake Na ni vyema usijue ana kiasi gani. Hapo ndoa itasonga mbele. Kuhusu watoto lazima Baba ajue jukumu la mama ni kulea mimba ila kuvalisha au gharama za kupeleka mtoto shule ni jukumu lake.
Sasa kama kuna wanaume kama wewe wanapatikana wapi? Sisi tunachangia kuanzia chumvi na kitunguu. Anay way sasa ikiwa ni hivyo maswala ya kujenga unajenga mwenyewe na yeye anaambiwa tu akanunue vyungu vya maua nyumba imekwisha?
 
Katika ndoa sumu ya kwanza ni fedha. Uzoefu nilionao ni kuwa Mwanaume unatakwa kuwa Na majukumu yako Na mwanamke yake katika ndoa. Masuala ya kuchanga huleta mitafaruku katika ndoa. Jukumu la shelter Na usafiri wa familia ni jukumu la Baba Na Kama mama KWA hiari yake akipenda anaweza kuchangia. Masuala ya joint account ni kufikirika maana ukimtumia mama yako hela akijua atakueleza Na yeye atume kwao mara mbili. Kila mtu Na account yake Na ni vyema usijue ana kiasi gani. Hapo ndoa itasonga mbele. Kuhusu watoto lazima Baba ajue jukumu la mama ni kulea mimba ila kuvalisha au gharama za kupeleka mtoto shule ni jukumu lake.
Exactly, what I meant in my above post. Yaani usifikirie hata siku moja kuwa na account ya pamoja. Hata kama ni miradi ni vizuri kuweka tu jointly owned basi.
 
Back
Top Bottom