Tyre aina ya linglong 185/70/14. Kuna namba imeandikwa 1221 muuzaji ananiambia ni ya mwaka huu je ni kweli?

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Jul 14, 2008
748
652
Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R0 Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli?

Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye Tyre.
 
Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R ,Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli?
Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye tyre.

Ungekuja na picha za hizo namba ingefaa. Maana namba huwa zinakuwa nyingi kwenye tairi.

Ukiwa na picha ni rahisi mtu kujua kama ni zenyewe au lah. So far namba zinazoonesha tairi limetengenezwa lini huwa kama zimezungushiwa hivi.

Ingawa inawezekana hiyo tairi imetengenezwa mwaka huu kama hizo namba zitakuwa zenyewe.

Kwa maana limetengenezwa week ya 12 ya mwaka 2021 kwa maana ni around week ya mwisho ya mwezi wa tatu.
 
Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R ,Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli?
Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye tyre.
Ukipita gereji unaweza kupata jibu la hili swali
 
kama ndo yenyewe means week ya 12 ya mwaka huu ...

kununua taili kwa kuangalia mwaka ni kitu muhimu sana , ukizubaa wanakupiga ya 2019 imebakiza mda mchache expired time
 
kama ndo yenyewe means week ya 12 ya mwaka huu ...

kununua taili kwa kuangalia mwaka ni kitu muhimu sana , ukizubaa wanakupiga ya 2019 imebakiza mda mchache expired time
Hii ni myth tu. Kuna gari ninayo imeingia mwaka Jana December na tairi tatu za 2016, moja ya 2019 nimesafiri nazo sana hazijawahi kuniletea shida hadi leo zipo sijabadili.
 
Hii ni myth tu. Kuna gari ninayo imeingia mwaka Jana December na tairi tatu za 2016, moja ya 2019 nimesafiri nazo sana hazijawahi kuniletea shida hadi leo zipo sijabadili.
sikupingi naamini hizo ni tail nzuri zenye qaulity kwenye soko sio hizo botto au za kichina fake
 
Back
Top Bottom