TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha

So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Your thread comprises with "First Quality Nonsense!"

Hawa walitekwa na Bashite ndie Mhusika no 1.

Uwe na haya na aibu, jaribu kujisitiri kidogo, upo mtupu kabisa..!!

Rubbish..!!
Haifurahishi kupinga such eloquently refined analysis kwa kupiga kelele tu. Nawe analyse uweke hapa tuone na tupime upi ukweli na uongo ni upi.
 
Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais

1. Achukiwe
2. Asiweze kutawala
3. Asifikie Lengo lake
4. Apoteze umaarufu

!
Hili suala la kina sijui anayejiita Mroma linaweza kuwa tkio la kupanga kati yake na serikali ili kuwatisha wasaniii wasitunge tena nyimbo za kuikosoa serikali. I dont buy their story! Anashndwaje kuelezea alihojiwa nini? Eti upelelezi my foot!
 
ni kweli mfumo umetubaka,na wote tunafahamu umetubaka.

anyway JF si mahala pazuri ,me nimeona niquit tu.nimeherimika sana na ulichoandika.Mungu akubariki.

[HASHTAG]#NaLogOff[/HASHTAG]
 
Mkuu waliomo kwenye payroll ya ShilawaDU ili kupindisha ukweli ni wengi sana. Huyu dikteta uchwara nchi imeshamshinda kabisa sasa kabaki kuteka watu na kuwatesa. Ben saanane ni zaidi ya mwezi wa sita sasa hatima yake haijulikani.

So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Your thread comprises with "First Quality Nonsense!"

Hawa walitekwa na Bashite ndie Mhusika no 1.

Uwe na haya na aibu, jaribu kujisitiri kidogo, upo mtupu kabisa..!!

Rubbish..!!
 
So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Your thread comprises with "First Quality Nonsense!"

Hawa walitekwa na Bashite ndie Mhusika no 1.

Uwe na haya na aibu, jaribu kujisitiri kidogo, upo mtupu kabisa..!!

Rubbish..!!
Si sawa kuhusisha utekaji na serikali kwa hisia tu,,lete evidence no evidence no right to speak
 
Mkuu waliomo kwenye payroll ya ShilawaDU ili kupindisha ukweli ni wengi sana. Huyu dikteta uchwara nchi imeshamshinda kabisa sasa kabaki kuteka watu na kuwatesa. Ben saanane ni zaidi ya mwezi wa sita sasa hatima yake haijulikani.
chadema wanajua ben saanane alipo acheni propaganda
 
Hakuna mtu anayependa Rais ashindwe, kwani akishindwa jua Tumeshindwa wote.

Adui yake mkubwa ni yeye Mwenyewe!

Mmeanza kuleta Visingizio baada ya kuona ameshafeli kuendesha nchi.
wale wale kasoro majina yao....usijiteke lakini
 
So Roma na wenzake walijeteka halafu wakajitesa..!!??

Umesikia press conference iliyoisha hivi sasa ya Roma na wenzake??

Mbele ya Waziri Mwakyembe amesema walichukuliwa Wednesday usiku na wakafungwa vitambaa na kupelekwa kusikojulikana na huko ilikuwa ni kupigwa na kuteswa tu mpaka siku ya Ijumaa.

So u want to tell us ni juhudi za Bashite ndio zilizosaidia hawa akina Roma kupatikana juzi jmosi baada ya kuahidi jana yake..??

Don't come here with your very, not only low, but very cheap arguments...

Your thread comprises with "First Quality Nonsense!"

Hawa walitekwa na Bashite ndie Mhusika no 1.

Uwe na haya na aibu, jaribu kujisitiri kidogo, upo mtupu kabisa..!!

Rubbish..!!
SayNoToDrugs
Hasira za nini?
 
Kuna nguvu kubwa kumdidimiza Rais
nacho kilaumu wanatumia mbinu za hovyo kuliangamiza Taifa
na kitu chakushangaza watanzania wengi wamekuwa kama watoto wasio taka kutumia akili zao!
Leo uzushi unakuwa unashupaliwa
watu wanashindwa hata kufanya kazi
kisa uzushi!!

Hawa wauza madawa, Wasuka madili hawata penya
Mkuu nikuambie tatizo ni nini!??
 
Sijuhi ni nadharia tu au ni kweli, eti pamoja na ubabe wote demokrasia, intelijensia kali, majeshi yenye nguvu, teknolojia,nk Marekani inaongozwa na ka kikundi ka watu wasiozidi 8.....
Tofauti ya hao watu nane wa huko, hawa wa kwetu ni wajinga, hawana mbinu yoyote mpya (tofauti na kutumia hela tu na nyingi zikiwa ni za ufadhili wa wazungu), hawajishughulishi katika kusoma na kupitia nadhalia walizotumia hao wenzao. Jambo jengine hawa wa kwetu wanawaza kushibisha matumbo yao tu na wafuasi wao wakati wale wa Marekani malengo yao ni kuhakikisha nguvu ya dola lao haiyumbi.

Hawa wa kwetu hata elimu yao ni mangumashi wakati kwa wenzetu kundi hili limejengwa kweye msingi wa wasomi wabobevu!
 
Mtoa mada unaweza kutuambia Mwakyembe alienda kufanya nini ktk hile press!??

Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar na mwentekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama alijuaje kama mateka hao wangereje Kabla ya jumapili!??

Je... Wataka kutuaminisha watanzania kwamba Makonda ndiye mpangaji wa tukio zima!?

Naomba majibu..
 
Mkuu waliomo kwenye payroll ya ShilawaDU ili kupindisha ukweli ni wengi sana. Huyu dikteta uchwara nchi imeshamshinda kabisa sasa kabaki kuteka watu na kuwatesa. Ben saanane ni zaidi ya mwezi wa sita sasa hatima yake haijulikani.
La Ben linasikitisha zaidi Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom