Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda katika nyakati hizi za watu wasiyojulikana

Ukivuka mipaka na ukajaa kwenye 18 za watu huku ukitegemea tweets za free fulani utaishia kutumia...ukute mtu keshapiga goli zake mbili uko anapumzikia mtandaoni kwa kutweet free fulani...wanaoishia kuumia ni mama zetu na familia...waliokuunga mkono kwenye matusi wamejificha kwenye mablanketi mazito na mademu na mabwana zao
 
Sure kama jamaa angekua anakosoa bila kutukanwa naimani asingetekwa..lakini jamaa Hana hoja ni kumwaga matusi...Sasa family inaseka juu yake...wakati Leo ingekua tunabet zetu kiroho safi
Naam, wakiona hawawezi kukaa bila kutukana basi waache kabisa kutumia mitandao ya kijamii. Mbona sio lazima sana kutumia twitter ila vijana wanaona kama vile ni lazima.
 
Naam, wakiona hawawezi kukaa bila kutukana basi waache kabisa kutumia mitandao ya kijamii. Mbona sio lazima sana kutumia twitter ila vijana wanaona kama vile ni lazima.
Mkuu unalikumbuka saga la Zombe na wale Wafanyabiashara wa Madini? Wale walikuwa wanatumia mitandao? Au kipindi kile Maxence Melo anahenyeshwa na Polisi yeye ndiye alikuwa anaanika siri za Mambo yanayoendelea kwenye utawala wa Serikali ya JK? Au Mo Dewji alivyotekwa alikuwa anaikosoa Serikali? Fikiria kwa mapana aisee
 
Ni vile hatujuani...lakini lazima Kuna kitu ufanye ndio jamaa wakusake kwa style hizo ..amini kwamba jamaa hawana muda na issue ndogo ndogo
Hizo issue kubwa kubwa ninini? Ufisadi? Kama majambazi na mafisadi wanazurura tu mitaani hao "majamaa" issue kubwa kubwa gani zaidi ya hizi wanadeal nazo.
 
Acha kuota kumekucha
Omba sana yasikukute hao Mitume pamoja na mema waliyoyafanya bado walifanyiwa hujuma, utakuwa wewe?
Mo Dewji alitekwa kwa kukosoa serikali?
Magufuli ule ugonjwa uliomua ni kweli? Ina maana Madaktari walikuwa hawafanyi check up ya afya yake?
Kwanza una umri gani wewe usije tukawa tunajibizana na mtoto wa mwaka 2014
 
Mimi hayawezi kunikuta kamwe..!hatuko interview kunihoji umri
 
Back
Top Bottom