Sukari kilo huku ni 2600 Kwa kilo, tatizo lako unakula kwa mama na kulala kwa baba hata bei ya chumvi hujuiMkuu, nakumbuka mwaka jana PM mwenyewe akitamka kuwa sukari isiuzwe zaidi ya 1,800/-. Tatizo mimi sijainunua tokea wakati huo na siamini kama kuna mfanyabiashara mtanzania anayeweza kukiuka agizo la waziri mkuu!
Sukari kilo huku ni 2600 Kwa kilo, tatizo lako unakula kwa mama na kulala kwa baba hata bei ya chumvi hujui
Sasa mkuu usinishangaae, mfano nyanya moja ikiuzwa buku si nachemsha tu maharage nakula!? Maana kama kilo ya maharage ni 3,200/- na uongeze tuseme nyanya tatu na hapo hujanunua mkaa, si ni ku declare kuwa nyanya ni sehemu ya luxurious item!?Nyie mnaishi nchi gani?
Hata sukari bei huijui?
Hatari sana
Bora kwenu hata mbili mnauziwa huku 4 elfu moja hakuna za 500Huku kwetu nyanya 2 ni 500. Jamani maisha yamekuwa magumu
Hakuna cha ajabu hapo mkuuMaisha yanazidi kuwa magumu mtaani baada ya bidhaa muhimu kuzidi kupanda bei.Mchele, maharage, unga,gesi bei zipo juu.
Sasa jana nilienda kununua sukari kwa mangi nikakuta bei imepanda tofauti na ilivyokuwa last week. Imepanda kutoka 2300 hadi 2800, shilingi 500 zaidi. Hili ongezeko ni kubwa sana kwetu walalahoi.
Juzi pia baada ya kuchoka nyanya ghali za gengeni, nikajitosha kwenda Soko la ndizi Mabibo kununua za jumla, haki nilichokuta huko ilibidi niwaachie laana watawala. Sado shilingi 8000 na ndoo ya lita 10 shilingi 12,000, shubhaamit. Niliachana nazo ngoja nikomae tu na za gengeni za jero jero kila siku.
----------Habari Gazeti la mwananchi----------
View attachment 481528
Bei ya nyanya katika siku mbili hizi haishikiki na sababu tatu za hali hiyo zimetajwa. Mosi ni mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimeathiri uzalishaji wake.
Nyingine ni wakulima kushindwa kumudu gharama za uzalishaji na mwisho ni hasara waliyopata msimu uliopita walipozalisha nyanya nyingi zilizokosa soko.
Bei hiyo imepanda katika baadhi ya masoko ambayo waandishi wetu waliyatembelea juzi Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Moshi na baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Jiji la Dar es Salaam, juzi kuanzia saa tatu hadi saa sita mchana, bei ya nyanya ilikuwa Sh70,000 kwa tenga wakati miezi mitatu iliyopita katika masoko ya Ilala, Buguruni na Kariakoo ilikuwa Sh25,000.
Mwenyekiti wa wauza nyanya Soko la Buguruni, Amos Mtala alisema bei ya nyanya kwa msimu huu imekuwa juu zaidi kutokana na baadhi ya wakulima kutoka Iringa na Njombe kushindwa kumudu gharama za uzalishaji.
Mwenyekiti wa wauza mazao ya jumla katika Soko la Ilala, Habibu Uroki alisema kilichosababisha bei kuwa juu ni kudoda kwa nyanya msimu uliopita na kusababisha wakulima kupata hasara kutokana na kukosa soko.
Katika masoko mbalimbali ya mjini Dodoma, zao hilo limepanda katika masoko ya Sabasaba na Majengo. Mwandishi wetu aliyetembelea masoko hayo kati ya saa tano asubuhi na saa saba mchana juzi alikutaka tenga moja likiuzwa kwa wastani wa Sh130,000 ikilinganishwa na Sh90,000 msimu uliopita.
ifike 20000 sado ntafurahi sanaMaisha yanazidi kuwa magumu mtaani baada ya bidhaa muhimu kuzidi kupanda bei.Mchele, maharage, unga,gesi bei zipo juu.

Kufweni tu, nchi ikiwa na kiongozi mnafiki lazima ikumbwe na mabalaa kama hayo. Kufweni kabisa kabisa.
Maisha yanazidi kuwa magumu mtaani baada ya bidhaa muhimu kuzidi kupanda bei.Mchele, maharage, unga,gesi bei zipo juu.