KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,374
- 5,395
Upo Sawa mkuu nashukuru Kwa mawazoBeki Bora nadhani bado Inonga anastahili coz kaibeba Sana Simba pamoja na Simba kusua sua msimu huu lakini still jamaa kaipambania Sana timu... Tazama ukuta wa Kati pale Simba hebu vuta picha Inonga hayupo nini kingemkumba mnyama?
Lakini Kwa Dickson Job pia alikua na msimu mzuri Ila hapa Kati ni kama alikuja kupotezwa na ubora wa Ibra Bacca kiasi kwamba Hadi Nasreddine Nabi akambadilisha nafasi sahivi ni full beki wa kulia so mi namkata maksi...
Pengine tupo pamoja