swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,892
wewe ungewapa watu gani?wenye magari au baiskeliHizo tuzo wamekosa watu wa kuwapa?

nenda zako huko lema anaweza kupewa tuzo gani ya kimataifa ya amani! kanjanja anajua kuitisha maandamano tu na kuomba awekwe lupango eti aonekane kama mandela. sijui watu wa arusha amewaloga kwa uchawi gani..wanampenda tu.Hii ni baada ya ujumbe wake alioutoa bungeni alipokuwa akitoa mchango wake wa kile kinachoitwa mpango wa Taifa wa maendeleo kuvuka mipaka na kutua nchi za nje.
Ikumbukwe kwamba dunia imekuwa ikitumia nguvu kubwa sana katika kutatua migogoro hasa ya Africa inayosababishwa na misuguano ya kisiasa, sasa anapotokea mtu mwenye maono ya utatuzi usio na gharama ya pesa ama umwagaji wa damu basi ni lazima Jumuiya na Taasisi kubwa za kimataifa zitambue mchango wake.
Zipo taarifa zinazoelea duniani zinazodokeza uwezekano wa Mh Lema kupewa Tuzo ya Amani hasa baada ya Taasisi hizo kuguswa na mchango wake alioutoa bungeni.
Taarifa zaidi zinatanabaisha kwamba kushindwa kwa watu mashuhuli na hasa wale wenye ushawishi katika nchi hii kulizungumzia kwa uwazi na ukweli suala la Zanzibar kumewashangaza wazungu wengi!
Kuibuka kwa kijana mdogo sana Mh Lema ambaye dunia iliaminishwa kwamba ni mtu wa fujo na vurugu kulisemea bila kumung'unya maneno suala zito la dhuluma ya Zanzibar tena katika lugha ya kushawishi amani kumewashangaza zaidi wazungu .
Kila la heri Mh Lema, Mwenyezi Mungu ambaye amekuwa tegemeo lako kuu akuongoze katika mkakati wako wa kupigania amani ya nchi yako.
Hii ni baada ya ujumbe wake alioutoa bungeni alipokuwa akitoa mchango wake wa kile kinachoitwa mpango wa Taifa wa maendeleo kuvuka mipaka na kutua nchi za nje.
Ikumbukwe kwamba dunia imekuwa ikitumia nguvu kubwa sana katika kutatua migogoro hasa ya Africa inayosababishwa na misuguano ya kisiasa, sasa anapotokea mtu mwenye maono ya utatuzi usio na gharama ya pesa ama umwagaji wa damu basi ni lazima Jumuiya na Taasisi kubwa za kimataifa zitambue mchango wake.
Zipo taarifa zinazoelea duniani zinazodokeza uwezekano wa Mh Lema kupewa Tuzo ya Amani hasa baada ya Taasisi hizo kuguswa na mchango wake alioutoa bungeni.
Taarifa zaidi zinatanabaisha kwamba kushindwa kwa watu mashuhuli na hasa wale wenye ushawishi katika nchi hii kulizungumzia kwa uwazi na ukweli suala la Zanzibar kumewashangaza wazungu wengi!
Kuibuka kwa kijana mdogo sana Mh Lema ambaye dunia iliaminishwa kwamba ni mtu wa fujo na vurugu kulisemea bila kumung'unya maneno suala zito la dhuluma ya Zanzibar tena katika lugha ya kushawishi amani kumewashangaza zaidi wazungu .
Kila la heri Mh Lema, Mwenyezi Mungu ambaye amekuwa tegemeo lako kuu akuongoze katika mkakati wako wa kupigania amani ya nchi yako.
Kama zile za Lowassa
Hahaha
sasa mjomba mbona unanishambulia mimi tena ? mimi nimeleta taarifa kama nilivyoidaka tu , mjumbe hauwawi mkuu .nenda zako huko lema anaweza kupewa tuzo gani ya kimataifa ya amani! kanjanja anajua kuitisha maandamano tu na kuomba awekwe lupango eti aonekane kama mandela. sijui watu wa arusha amewaloga kwa uchawi gani..wanampenda tu.
huu ufyatu wa kutetea amani ya nchi ni bora uendelee tu .Hao wazungu wamekosa kazi ya kufanya hadi wamefikiria kumpa tuzo huyo fyatu
asante sana mkuu .Kwa kweli Nchi za Africa tunaamini katika "SIASA ZA UJIMA" na kuamini siasa ni "UONGO ULIOKITHIRI KUWALAGHAI WANANCHI WAKUPE KURA" lakini kwa maana halisi ni kinyume chake zaidi ni kuwa MTUMISHI WA WANANCHI ANAESIMAMIA UONGOZI BORA WA PAMOJA,HAKI,WAJIBU,UKWELI,MAENDELEO ENDELEVU,USHIRIKIANO NA UPENDO. huku kwetu ukiwa mkweli ni shida kama swala la zenj kila mtu ataongea hili na lile lakini ukweli unajulikana ni UBINAFSI ULIOKITHIRI ni chachu kuu,ambayo imejenga mambo mengi ikiwamo DHULUMA,UONGO,WIZI,HUSUDA,ULAFI,UCHU,WOGA,TAMAA,UNYANGANYI,CHUKI KUU,UBAAZAZI,&^%$$#.....etc.
sasa basi ifike wakati tuwe WAKWELI maana hata vitabu husema "UKWELI HUTUWEKA HURU" na kama hatutaki ukweli basi tukubali ya upande wa pili,siasa za ujima.
kucheka kwako kinafiki hakutazuia jumuiya za kimataifa kutambua mchango wa mh lema kwenye amani ya nchi yetu .Tehe tehe tehee...Hongera Mh. Lema kwa kunyemelewa na Tuzo za Kimataifa.
kuna kila dalili ya Mh Lema kuwa mbunge bora wa bunge la 11 .Lema huyu huyu aliechochea watu waandamane wakapigwa risasi
Lema ni Mpango wa MunguHii ni baada ya ujumbe wake alioutoa bungeni alipokuwa akitoa mchango wake wa kile kinachoitwa mpango wa Taifa wa maendeleo kuvuka mipaka na kutua nchi za nje.
Ikumbukwe kwamba dunia imekuwa ikitumia nguvu kubwa sana katika kutatua migogoro hasa ya Africa inayosababishwa na misuguano ya kisiasa, sasa anapotokea mtu mwenye maono ya utatuzi usio na gharama ya pesa ama umwagaji wa damu basi ni lazima Jumuiya na Taasisi kubwa za kimataifa zitambue mchango wake.
Zipo taarifa zinazoelea duniani zinazodokeza uwezekano wa Mh Lema kupewa Tuzo ya Amani hasa baada ya Taasisi hizo kuguswa na mchango wake alioutoa bungeni.
Taarifa zaidi zinatanabaisha kwamba kushindwa kwa watu mashuhuli na hasa wale wenye ushawishi katika nchi hii kulizungumzia kwa uwazi na ukweli suala la Zanzibar kumewashangaza wazungu wengi!
Kuibuka kwa kijana mdogo sana Mh Lema ambaye dunia iliaminishwa kwamba ni mtu wa fujo na vurugu kulisemea bila kumung'unya maneno suala zito la dhuluma ya Zanzibar tena katika lugha ya kushawishi amani kumewashangaza zaidi wazungu .
Kila la heri Mh Lema, Mwenyezi Mungu ambaye amekuwa tegemeo lako kuu akuongoze katika mkakati wako wa kupigania amani ya nchi yako.
Mkuu mh lema ni tunu ya wana wa Arusha na cdm kwa ujumla na ndio maana ameshinda vikwazo vingi sana hadi sasa hapo alipo fikia ametukanwa sana,lkn mungu ndiye anaye mlindaHii ni baada ya ujumbe wake alioutoa bungeni alipokuwa akitoa mchango wake wa kile kinachoitwa mpango wa Taifa wa maendeleo kuvuka mipaka na kutua nchi za nje.
Ikumbukwe kwamba dunia imekuwa ikitumia nguvu kubwa sana katika kutatua migogoro hasa ya Africa inayosababishwa na misuguano ya kisiasa, sasa anapotokea mtu mwenye maono ya utatuzi usio na gharama ya pesa ama umwagaji wa damu basi ni lazima Jumuiya na Taasisi kubwa za kimataifa zitambue mchango wake.
Zipo taarifa zinazoelea duniani zinazodokeza uwezekano wa Mh Lema kupewa Tuzo ya Amani hasa baada ya Taasisi hizo kuguswa na mchango wake alioutoa bungeni.
Taarifa zaidi zinatanabaisha kwamba kushindwa kwa watu mashuhuli na hasa wale wenye ushawishi katika nchi hii kulizungumzia kwa uwazi na ukweli suala la Zanzibar kumewashangaza wazungu wengi!
Kuibuka kwa kijana mdogo sana Mh Lema ambaye dunia iliaminishwa kwamba ni mtu wa fujo na vurugu kulisemea bila kumung'unya maneno suala zito la dhuluma ya Zanzibar tena katika lugha ya kushawishi amani kumewashangaza zaidi wazungu .
Kila la heri Mh Lema, Mwenyezi Mungu ambaye amekuwa tegemeo lako kuu akuongoze katika mkakati wako wa kupigania amani ya nchi yako.
Ajabu ya ccm kuumaliza ufisadiHahaaaaaa. Ajabu
Lusinde na nape bila ya kumsahau nkamiaUlitaka apewe lusinde
Mkuu kumlinganisha mh lema na jk ni kutomtendea haki mh lemaKwa kweli anastahili tuzo nyingi ikiwemo udaktari wa vyuo vikuu mbalimbali kama JK
Nivizuri ukajua kuwa kwa sasa mwana ccm ameishiwa hoja hivyo ngao yake kubwa ni dharau na matusiDharau kama hizi zako ndizo zimeleta umwagaji wa damu duniani