Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,298
Nani akupe 40% kama wewe hujielewi? Viongozi hao wenyewe ni madalali wa hao weziMi naona wote ni wale wale
Endapo wangechukua 60%na kuipa afrika 40 kwenye biashara basi afrika ingekuwa maili nyingi sana kuliko hapa tulipo
Mchina hauzi hata 7% Afrika kwa bidhaa zake anazouza duniani. % kubwa ya bidhaa zake zinanunuliwa marekani na ulaya. Nyie hiyo 7% ni ya bidhaa ambazo mnaweza kuafford.Baada ya Trump kusitisha misaada Africa, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema haya sasa huyo Mchina ajitokeze! Ukweli ni kwamba mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu angalau pamoja na kutupiga lakini wametuwezesha nasisi mdogomdogo kusogea! Mchi zote zilizokopa kwa mchina zikashindwa kurejesha zimepelekea kunyanganywa mali zao kama Zambia na Kenya kunyanganywa umiliki wa viwanja vyao vya ndege na kumilikiwa na mchini mpaka watakaporudisha senti yao ya mwisho. Tanzania kipindi cha Kikwete tulikopa na kuweka rehani gesi yetu yooote ya mtwara na inaenda China bure na sisi kuendelea kupikia kuni na mkaa maana gesi haikamatiki kwa watanzania wengi hasahasa vijijini. Mchina aliuziwa bandari ya Bagamoyo na Kikwete kuiendesha miaka 99 bila kulipa kodi kwa masharti dharimu kabisa ambapo Magufuri aliyakataa na kuupiga chini huo mradi. Kwa ufupi hakuna mashetani kwenye vita vya uchumi ya unyonyaji kama China. Bora mzungu ana utu sio mchina! Kwahiyo kama mmarekani katuachia mchina tupambane naye! Twaafwaa!
Ndio maana nasema wote sawa tu hata akija huyo anaejielewa atapigiwa zengwe mara Moja na kuondolewa kwa aibu tena akisaidiwe na wananchi wapenda "demokrasia"Nani akupe 40% kama wewe hujielewi? Viongozi hao wenyewe ni madalali wa hao wezi
Haya unanunua plasma tv ya mchina laki ndani ya miezi 3 imekufa beyond repair. Unanunua nyingine ndani ya miaka 2 umetumia million 10. Sasa Mzungu unanunua moja million 2 yenye guarantee ya miaka 2 hadi 5 unatumia. Nani bora kati Mchina au Mzungu! Mchina muuaji!Mchina hauzi hata 7% Afrika kwa bidhaa zake anazouza duniani. % kubwa ya bidhaa zake zinanunuliwa marekani na ulaya. Nyie hiyo 7% ni ya bidhaa ambazo mnaweza kuafford.
Wewe leo unaenda kariakoo unapata Smart TV inche 50+ kwa milioni labda 2. Hivi unadhani ingekuwa bidhaa ya mmarekani ungeipata kwa pesa hiyo.
Mchina kwa kutengeneza bidhaa zake kwa grades, kumewafanya hata nyie afrika mpate kuwa na vitu ambavyo huenda kwenu vingekuwa ndoto au vya watu wachache.
Kitu cha mchina ambacho unakinunua laki, kikitoka kwa mmarekani au mgermany utakinunua laki 4.
Mbona watu tuna tv za mchina zaidi ya miaka 10? Hao akina litop sijui takataka gani si product za mchina. And by the way nimekwambia mchina bidhaa anazouza Afrika hazifiki hata 7% ya bidhaa anazouza duniani. Hivyo usimlaumu mchina, laumu wafanyabiashara wenu wakienda china wanachukua low quality products kwa sababu wanajua ndizo mnazoweza kuziafford. Huko Marekani unadhani bidhaa za china zinazouzwa huko ni sawa na hizi za kwenu?Haya unanunua plasma tv ya mchina laki ndani ya miezi 3 imekufa beyond repair. Unanunua nyingine ndani ya miaka 2 umetumia million 10. Sasa Mzungu unanunua moja million 2 yenye guarantee ya miaka 2 hadi 5 unatumia. Nani bora kati Mchina au Mzungu! Mchina muuaji!
TV gani hiyo ya wazungu? Hebu tuelimisheHaya unanunua plasma tv ya mchina laki ndani ya miezi 3 imekufa beyond repair. Unanunua nyingine ndani ya miaka 2 umetumia million 10. Sasa Mzungu unanunua moja million 2 yenye guarantee ya miaka 2 hadi 5 unatumia. Nani bora kati Mchina au Mzungu! Mchina muuaji!
Kila kitu kina faida na hasara! Nchi yenye nguvukazi kwa bei rahisi ni china ndo maana baadhi makampuni ya wazungu yalihamisha viwanda vyao na kwenda kuvijenga china. Sumsang mobile phone iliyotengenezwa china bei yake ni nusu ya iliyotengenezwa nchi za magharibi. Kwa hilo nawasifu maana wengi tusingeweza kumiliki samsung s6 ☹😍😍😍Huo ni mtazamo wako.
Kama unataka msaada kwa China utasubiri sana.
China ni partners,bila China hao matajiri wote wa kariakoo wasingekuwepo,Biashara nyingi zilizowatajirisha watu zisingekuwepo,watu waliojariwa kwenye biashara hizo wasingekuwa na Kazi.
Bidhaa nyingi tunazozitumia zingekuwa zinazalishwa Marekani ni Wazi tusingeweza kumudu kuzimiliki!
Madaraja,Majengo,Bandari,Barabara,nk..Vingekuwa vinajengwa na wazungu basi Africa ingekuwa bado ipo nyuma sana kimaendeleo.
Kwa kweli Idumu China Ili tuendelee kuheshimiana hapa mjini.