Tuwe makini na wasichana wa kazi (House girls)

Mimi nilishapata house girl mshirikina yeye alikuja na furushi la dawa za kutumia ili kufanikisha mipango yake.cha kwanza kabisa alichofanya alichukua boxer ya mume wangu akavaa kwa bahati nikamuona nilipomuuliza akasema yake amenunua sikuamuni nikamvua nikahisi ni mwezi nikamua kupiga sachi begi lake ndio hapo nilipokuta na dawa za kuoga,za chakula,za kuchoma,za unyayo.za kutafuna.nilichoka niliona kama naota vile.nikamtisha nampeleka polisi binti akafunguka kuwa ni maagizo alipewa na shangazi yake kuwa asifanye kazi ya kulea watoto wa mwanamke mwenzio lazima nae aolewe na baba mwenye nyumba.nilimsafirisha siku ya pili.haya mambo yapo lazima nyumba zetu tuzilinde kwa sala na maombi mungu atusaidie.
 
Pole mama.
Bila sadaka, sala na maombi ni vigumu kuepuka kikombe hiki.
 
Achaneni na hizi fikira. hizi ndio adui wa maendeleo na kubomoa Imani kwenye dini zenu
Hata EFM Radio walirusha mkasa wa namna hii. Yule binti baada ya kuombewa akaokoka.
Imani zipi zinabomolewa na fikra hizi?
Maendeleo yapi unaongelea walipo wachawi?
Kuna wenzako walikuwa wabishi kama wewe. Yalipowakuta......
Wachawi are the agents of the devil.
Kama unaamini kuwa shetan yupo, basi hata agents wake tunaishi nao.
 
Siyo kitu ya kubeza,hizi story za uchawi wa watoto wa kazi ni za kweli na zimewakuta watu wengi tu,cha muhimu ni kumtanguliza Mungu ili aweze kukufunulia ukweli juu ya tabia za hao wadada na kama utadharau yatakukuta makubwa usio yatarajia.
 
Mi shaft langu kwanza awe mkristo na lazima aende kanisani atake asitake ili kufanya nguvu ya Mungu na hofu iwe ndani mwake, akishaanza kufanya vibweka vyake ataona moto wa Yesu mana hadi ataomba pooo, mana nguvu za giza na nguvu za Mungu n vitu viwili tofauti ambavyo haviwezi changanyika kamwe, na hata we mwisilam mwambie aende mskitini, co nyie mabos nyumba za ibada kwen n kituo cha police hamna ulinzi wowote unategemea nini kwa HG ambaye ni mchawi ???? Lazima awagalagaze
 
Too late nishaanza kumhisi! Huwezi kunitusha hivi halafu utegemee nichukulie poa tu!
 
Kuna moja inasambaa sana mitandaon huyo binti akiwa anahojiwa
 
Mkuu hyo avatar huo mdomo ni wako? Utakuwa mkalee kwenye mambo Ya mistar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…