Tuwaandae watoto wetu waje kurithi mikoba yetu ya JF

Salaam...

Wakuu nimeamua kuleta huu uzi ili tujadili mustakabali wa account zetu pindi muda wa kuishi duniani utakapofika. Ni vema sisi kama wasomi amboa wengine ndio wao pekee waliobaki katika familia na hata ktk jf na wengine tumezoeana kwa post na coment mbali mbali japo kwa kutumia ID fake. Mimi katika kuhakikisha kuwa ID yangu itabakia milele na kuwa up to date katika jf, nimeanza kumrishisha mwanangu ID yangu na kuwa nae pamoja pindi ninapokuwa katika mtandao na kumfundisha maisha yangu pindi ninapokuwa katika mtandao na kumsisitizia kuwa haya ndio maisha yako pia pindi nitakapotoweka duniani na kumwambia ficha ID yako na usimwamini mtu!.
Mtu akifa anakufa na fikra zake,unaweza kumrithisha id yako ila huwezi kumrithisha fikra zako,na jamii forum ni uwanja wa fikra yakinifu,nadhani ungesema utarithisha elimu huo ndio muongozo mzuri ili aje kuwa na fikra yakinifu,ila ukimrithisha jamii forum ukisha kufa na yeye ndio inaweza ikawa mwisho wa kutumia hiyo jamii forum,ila ukimrithisha elimu atatafuta material kila sehemu mojawapo ni kujiunga jamii forum kwa id yake kutokana na filosofia yake anayo amini,na pili kusema una mrithisha mtoto wako id yako ni kutompa demokrasia ya kuchagua filosofia yake anayo amini hii ni sawa na kumchagulia mtoto wako mke au mume wa kuoa sababu halitakuwa ni chaguo lake la jambo analo liamini,Na mwisho ulithi wa kweli wa mtoto ni elimu sababu hii ndio itampa nafasi aamini katika filosofia gani ya wewe baba yake,au nyingine anayo ona yeye ni sahihi.
 
Fikra haiitaji elimu ila ni utashi wa mtu na mzunguko wake katika dunia. Ila mwanangu akirithi akili kama zangu kisha akiongeza na elimu nahisi atafaa ktk kuliongoza taifa.
 
Mtoa mada unamrithisha mwanao ID yako ili ukifa yeye aiendeleze! Unajuaje kama wewe utakufa kabla yake? Kifo hakiendi kwa umri wa mtu,mtoto mdogo anaweza kufa na kikongwe akaendelea kuwa hai.
 
Salaam...

Wakuu nimeamua kuleta huu uzi ili tujadili mustakabali wa account zetu pindi muda wa kuishi duniani utakapofika. Ni vema sisi kama wasomi amboa wengine ndio wao pekee waliobaki katika familia na hata ktk jf na wengine tumezoeana kwa post na coment mbali mbali japo kwa kutumia ID fake. Mimi katika kuhakikisha kuwa ID yangu itabakia milele na kuwa up to date katika jf, nimeanza kumrishisha mwanangu ID yangu na kuwa nae pamoja pindi ninapokuwa katika mtandao na kumfundisha maisha yangu pindi ninapokuwa katika mtandao na kumsisitizia kuwa haya ndio maisha yako pia pindi nitakapotoweka duniani na kumwambia ficha ID yako na usimwamini mtu!.
Na sie wenye watoto wa kiume je?
Id zetu zitawaletea utata sasa?
 
Mkuu nyie ni Members muhimu hapa JF
Mkitangulia mnaacha Legacy yenu

sasa huwezi kumuachi mhuni ID yako,anaweza kuharibu heshima yako uliyojiwekea

Huwezi jua.
Asante kaka kiuhalisia ni ngumu kurithisha kitu na kikafanyika kwa ukamilifu wake na ni afadhali huyo mrithi ajitahidi kuliko ID ikapata mwendawazimu
 
Mtoa mada unamrithisha mwanao ID yako ili ukifa yeye aiendeleze! Unajuaje kama wewe utakufa kabla yake? Kifo hakiendi kwa umri wa mtu,mtoto mdogo anaweza kufa na kikongwe akaendelea kuwa hai.
Amefuata mtiririko wa kiasili wa uhai wa mwanadamu wa kuzaliwa kukua kuzeeka na hatimaye kufa.....kabla dunia haijalemewa na kuharibikiwa huo ndio ulikuwa mtiririko
Vifo havikuwa kwa ajili ya watoto wala vijana bali waliozeeka, vifo vilikuwa adimu kwa watu wasio wazee
 
Salaam...

Wakuu nimeamua kuleta huu uzi ili tujadili mustakabali wa account zetu pindi muda wa kuishi duniani utakapofika. Ni vema sisi kama wasomi amboa wengine ndio wao pekee waliobaki katika familia na hata ktk jf na wengine tumezoeana kwa post na coment mbali mbali japo kwa kutumia ID fake. Mimi katika kuhakikisha kuwa ID yangu itabakia milele na kuwa up to date katika jf, nimeanza kumrishisha mwanangu ID yangu na kuwa nae pamoja pindi ninapokuwa katika mtandao na kumfundisha maisha yangu pindi ninapokuwa katika mtandao na kumsisitizia kuwa haya ndio maisha yako pia pindi nitakapotoweka duniani na kumwambia ficha ID yako na usimwamini mtu!.

Binafsi Nimeshaanza Kumrithisha Mwanangu Tayari Ambapo Mara Nyingi Sana Yeye Huwa Yupo Humu JF Kuanzia Saa 12 Asubuhi Hadi Saa 12 Jioni Na Kuanzia Saa 12 Jioni Hadi Saa 12 Asubuhi Huwepo Mimi Baba Yake. Ila Huyu Mwanangu AMESHANISABABISHIA Ban Za Kufa Mtu Humu JF Huku Nyie Mkidhani Labda Ni Mimi Mwenyewe. Na Nyie Igeni Hii MIFANO Yetu ILIYOTUKUKA.
 
Back
Top Bottom