Tutakaa sawa tu, Mwenyekiti katuita kuchukua kuponi za kununua sukari!

Tatizo ni sukari au kutolewa kuponi mbona awamu iliyopita watu walishangilia kuponi kutolewa kwa wajawazito kuchua vyandarua bure kwenye maduka mbona hilo ilikua sawa hili liwe tabu
 
Kwa mara ya kwanza uwepo wa serikali mtaani kwangu unaonekana!

Mwenyekiti kupitia wajumbe wake katutangazia tukachukue kuponi za kununulia sukari kwa bei elekezi ya sh 1800.

Nimeenda na kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka saba nikamtambua mwenyekiti wangu wa mtaa na akanipa kuponi ya kwenda kupata sukari kwa bei iliyoekekezwa.

Kwa wanaosema Magufuli hajengi system basi wajiulize mara ya pili...kwani serikali imeonesha uhai wake kwenye level ya mtaa...

#hapakazitu
1463342084831.jpg
 
Kwa wasio na tafakari ndio watasema haya uliyoyasema...lakini kwa wazalendo tutasema kuna wahuni wachache waliopendelewa kuingiza sukari ndio waliotufikisha hapa...tutawashughulikia vilivyo na sukari itajaa kama yalivyo mahindi
Serikali inayoapa kuwashughulikia wafanya biashara ni serikali ya ajabu sana. Serikali makini huachiwa wafanya biashara kuwa huru kufanya shughuli zao, na serikali ikabaki kuweka sheria zinazolinda Haki na usawa wa kibiashara, kukusanya kodi, kulinda ubora na afya kwa Mwananchi na kuweka ulinzi na Usalama kwa RAIA na Mali zao. Sasa hizo Mali za RAIA zinataifishwa kwa maamuzi ya kukurupuka. Uko wapi Uzalendo hapo?

Yaani kutaifisha Sukari ya Mfanyabisahara aliyehifadhi Sukari yake kwenye ghala, kisha kugawa coupon ndio uzalendo?

Hebu toa tofauti kati ya kuhifadhi katika ghala na kuficha katika ghala kwa mfanyabishara wa sukari?
 
Tatizo ni sukari au kutolewa kuponi mbona awamu iliyopita watu walishangilia kuponi kutolewa kwa wajawazito kuchua vyandarua bure kwenye maduka mbona hilo ilikua sawa hili liwe tabu
Issue ni utekelezaji wa agizo la Rais hadi kwenye mitaa...kama huelewi elewa sasa
 
Tehteh naona zama za kupanga foleni ya mawe kwenda kununa sukari,kila kijiji mifuko miwili na uhujumu uchumi zinajirudia,alaf makondoo yanashangilia kama kawaida yao.Yani mkuu unashangilia kabisa. katika zama hizi za sayansi na teknologia wwnzetu wanapiga mipango ya kwenda kuweka makazi mars,sisi bado hata mahitaji muhimu na ya kawaida kama sukari bado tunaenda kuchukua kuponi ya bei elekezi kwa mwenyekiti?
 
Serikali inayoapa kuwashughulikia wafanya biashara ni serikali ya ajabu sana. Serikali makini huachiwa wafanya biashara kuwa huru kufanya shughuli zao, na serikali ikabaki kuweka sheria zinazolinda Haki na usawa wa kibiashara, kukusanya kodi, kulinda ubora na afya kwa Mwananchi na kuweka ulinzi na Usalama kwa RAIA na Mali zao. Sasa hizo Mali za RAIA zinataifishwa kwa maamuzi ya kukurupuka. Uko wapi Uzalendo hapo?

Yaani kutaifisha Sukari ya Mfanyabisahara aliyehifadhi Sukari yake kwenye ghala, kisha kugawa coupon ndio uzalendo?

Hebu toa tofauti kati ya kuhifadhi katika ghala na kuficha katika ghala kwa mfanyabishara wa sukari?
Ahadi ya ulinzi kwa wafanyabiashara ...inaaply kwa wafanyabiashara waadilifu...

Ukifanya biashara yako kwa uadilifu serikali haitakuwajibisha.

Hakuna serikali duniani inayotoa uhuru kwa wafanyabiashara kuhujumu uchumi!!

Elewa Nyumbu wangu!
 
Tehteh naona zama za kupanga foleni ya mawe kwenda kununa sukari,kila kijiji mifuko miwili na uhujumu uchumi zinajirudia,alaf makondoo yanashangilia kama kawaida yao.Yani mkuu unashangilia kabisa. katika zama hizi za sayansi na teknologia wwnzetu wanapiga mipango ya kwenda kuweka makazi mars,sisi bado hata mahitaji muhimu na ya kawaida kama sukari bado tunaenda kuchukua kuponi ya bei elekezi kwa mwenyekiti?
MuuliZE yule fisadi mliyekuwa mnamzungushia mikono kwani ndiye aliyetengeneza kundi kubwa la wafanyabiashara wahuni wa kuchangia harambee
 
Ahadi ya ulinzi kwa wafanyabiashara ...inaaply kwa wafanyabiashara waadilifu...

Ukifanya biashara yako kwa uadilifu serikali haitakuwajibisha.

Hakuna serikali duniani inayotoa uhuru kwa wafanyabiashara kuhujumu uchumi!!

Elewa Nyumbu wangu!
Mwanzo sikuwa nimesoma id yako kumbe unaitwa jingalao! Ama kweli wewe ndiye jingalao haswaa.
Hivi jingalao, ni nani alikurupuka kuzuia uingizaji wa sukari, ili hali akijua uzalishaji wa ndani halikidhi mahitaji?

Msitake serikali hii tuifananishe na ile ya Mfalme Juha.
 
Issue ni utekelezaji wa agizo la Rais hadi kwenye mitaa...kama huelewi elewa sasa
Hilo nimelewa vizuri na naunga mkono hoja ndio m

Hilo nimeliewa vizuri sana ndio maana nikasema mbona wakati wa vyandarua kwa kuponi watu walishangilia iweje kwa sukari kwa kuponi lionekane gumu sana
 
Kwa hiyo unataka kufananisha Sukari na Vile vyandarau vilivuotolewa kwa hisani ya watu wa Marekani, kuwakinga mama na mtoto dhidi ya Maralia?

Yaani hapo haujaona tofauti kabisa mkuu. Ama kweli Elimu bado sana hapa bongo.
 
MuuliZE yule fisadi mliyekuwa mnamzungushia mikono kwani ndiye aliyetengeneza kundi kubwa la wafanyabiashara wahuni wa kuchangia harambee
Sio kila anayekosoa serikali ni shabiki wa vyama kama ulivyo wewe.sijawahi shabikia mtu wa chama chochote mimi kwanza naona wote walewale tu.
 
Kwa mara ya kwanza uwepo wa serikali mtaani kwangu unaonekana!

Mwenyekiti kupitia wajumbe wake katutangazia tukachukue kuponi za kununulia sukari kwa bei elekezi ya sh 1800.

Nimeenda na kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka saba nikamtambua mwenyekiti wangu wa mtaa na akanipa kuponi ya kwenda kupata sukari kwa bei iliyoekekezwa.

Kwa wanaosema Magufuli hajengi system basi wajiulize mara ya pili...kwani serikali imeonesha uhai wake kwenye level ya mtaa...

#hapakazitu
Wewe hii kwako ndiyo mpya Leo?
Tulikuwa na maduka ya kaya majani ya chai, chumvi, sabuni ya kipande Kanga unaunga foleni wiki unaambulia kipande kiomoja cha sabuni wewe Leo ndiyo unaona maisha hayo?

Kakojoe ulale
 
kweli wewe ni jinga lao... u mshabiki maandazi wa kiwango cha ujinga wao... yaani pilika pilika za uchaguzi serikali za mitaa usimjue mwenyekiti wako kwa miaka 7? unatia kinyaa kweli....
 
Wewe hii kwako ndiyo mpya Leo?
Tulikuwa na maduka ya kaya majani ya chai, chumvi, sabuni ya kipande Kanga unaunga foleni wiki unaambulia kipande kiomoja cha sabuni wewe Leo ndiyo unaona maisha hayo?

Kakojoe ulale
Nimeamini anonymous ID zinakutanisha mbingu na ardhi.... yaani JF leo inatukutanisha na watu wasiowajua wenyeviti a mtaa kwa miaka 7?? really?
 
Sio kila anayekosoa serikali ni shabiki wa vyama kama ulivyo wewe.sijawahi shabikia mtu wa chama chochote mimi kwanza naona wote walewale tu.
Mimi ni Shabiki wa serikali inayoongozwa na JPM na nitaendelea kuwa hivyo...simshabikii kinyumbu bali kwa hoja zinazooeleweka.
 
Kwa mara ya kwanza uwepo wa serikali mtaani kwangu unaonekana!

Mwenyekiti kupitia wajumbe wake katutangazia tukachukue kuponi za kununulia sukari kwa bei elekezi ya sh 1800.

Nimeenda na kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka saba nikamtambua mwenyekiti wangu wa mtaa na akanipa kuponi ya kwenda kupata sukari kwa bei iliyoekekezwa.

Kwa wanaosema Magufuli hajengi system basi wajiulize mara ya pili...kwani serikali imeonesha uhai wake kwenye level ya mtaa...

#hapakazitu
Na kesho uende tena, kweli Tanzania bado sana
 
Back
Top Bottom