Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 69,841
- 137,217
Sijawahi kukosa apetite....
Hamkosagi appetite ninyi.Kuanzia mnavyomenya nyanya hadi kufunikia wali mnaonja tu.Sijawahi kikosa apetite....
Hadi kinaenda mezani nshashiba mie.Hamkosagi appetite ninyi.Kuanzia mnavyomenya nyanya hadi kufunikia wali mnaonja tu.
Mungu alijua mkishiba kabisa ndiyo mtawalisha mabebe zenu vizuri.Hadi kinaenda mezani nshashiba mie.