ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Janaba atatupoteza. Mkuu Sawa tusile sana ila angalau tuna tambua kwamba walahu kwenye mlo wako usiache matunda na protein Kwa wingi na me naamini sana kwenye Maharage, mayai ya kienyeji na maziwa mtindi hivyo ni vidogo ila ni source kubwa ya protein kwenye matunda asee finish your green 🥗Usile mpaka njaa ikukabe haswa.
Sio lazima kula mara 3 kwa siku, au kila siku, usiogope
Mbele ya nenge la kibabe utakula tu
Vyakula vya asili naona wa tanzania wengi Wana uwezo kuvipata mfano Mihogo, maboga, na mboga za majaniHaya furahia maisha usiache kufanya ibada na kuwakumbuka wale wasio weza kupata chakula kama chako kutokana na ukata
Nimezungumzia njaa sio lishe mkuuJanaba atatupoteza. Mkuu Sawa tusile sana ila angalau tuna tambua kwamba walahu kwenye mlo wako usiache matunda na protein Kwa wingi na me naamini sana kwenye Maharage, mayai ya kienyeji na maziwa mtindi hivyo ni vidogo ila ni source kubwa ya protein kwenye matunda asee finish your green 🥗
Hivi ninyi ndugu zangu katika ulabu huwa mnakosaje hamu ya kula.Mimi hata nigide vipi ulabu,nikikuta wali maharage nabugia bila shida.Tupo tofautitofauti sana.Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.
1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.
2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.
3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.
Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Mnafakamia misosi tu wakati waja wa Allah wapalestina wanakufa kwa njaa kwa ujinga wao.Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.
1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.
2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.
3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.
Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Acha pombe.Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.
1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.
2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.
3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.
Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Duh aisee upo kama mkubwa wangu fulani anapiga ulabu kisha anataka bakuli la MaharageHivi ninyi ndugu zangu katika ulabu huwa mnakosaje hamu ya kula.Mimi hata nigide vipi ulabu,nikikuta wali maharage nabugia bila shida.Tupo tofautitofauti sana.
Shida ni kwamba ukifululiza pombe unaweza kujikuta una njaa lakini usitaman kula ukaona uko Sawa ila pombe, inateremka yenyeweHivi unatakiwa ule kwasababu njaa inauma au kwasababu muda wa kula umefika?
Niache au nipunguze mkuu?Acha pombe.
Ushasema Kwa ujinga WaoMnafakamia misosi tu wakati waja wa Allah wapalestina wanakufa kwa njaa kwa ujinga wao.
Uzuri sijawahi kosa hamu ya kulaKuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.
1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.
2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.
3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.
Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.
Sidhani kama ni pombe tu itakuwa na ishu nyingine.Hii hali ya kukosa hamu ya kula imekuwa tatizo kubwa sana kwa sasa
Vyote viwili na hata ukiona msosi mezani.Kwa mfano upo baa na ikaagizwa asusa,utasema hauli kwa sababu kwa mama Kadala ulishakula?Hivi unatakiwa ule kwasababu njaa inauma au kwasababu muda wa kula umefika?