ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula.
1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda, Mihogo, maboga au nyama ukila na uma na kisu kizungu unajikuta unatamani kuendelea kula hata ugali ukila na mkono haupeleki speed kama ambavyo ukila na kijiko.
2.katika mlo wako usiache kuweka glass ya maji usinywe maji na chupa weka kistaraabu kwenye glass. Utajikuta mambo yanaenda.
3.mbilimbi na appetizer nyingine zihusike na kwenye mboga yoyote basi usikose limau nalikubali sana.
Kama kuna mbinu nyingine tuelekezane.