Tutafakari pamoja: Kwa nini Dubai wanalazimisha mfumo wa mikataba unaojumuisha IGA na HGA wakati miradi yote itatekelezwa nchini Tanzania?

Hongera sana kwa andiko kitita lenye wingi wa maarifa na ufahamu kupitia tafiti na upembuzi..

Tuna mengi ya kujitafakari,Kujisahihisha na kurekebisha kupitia utashi wa mamlaka na uongozi

Ukijaaliwa angalia namna ya kuchapisha kabisa liwe jarida au kitabu..
 
Ww tangu lini mwarabu akaleta maendeleo???Ile bandari tumeitupa tu kusema ukweli .Hatujifunzi kwa yaliyopita ww angalia mikoa yote aliyoikalia mwarabu ndo utajua kwa nn watu tulikua tunapinga bandari kupewa mwarabu.
 
Back
Top Bottom