Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,684
Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa.
Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha kiserikali ila kupo kupo mpaka fremu zilizopo hakuna watu ukilinganisha kahama kila kukicha mji ukitanuka kwa kasi.
Shinyanga kumejazana baiskeli nyingi kuliko bodaboda.
KWA SIFA ZINAZOPEWA KAHAMA KWA TAKWIMU YA MAPATO NA MAKUSANYO UWEZI KULINGANISHA NA SHINYANGA.
MWENYE KUFAHAMU ?