Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

Mimi nilisikia Moja Baba na Bintiye wamekutana Lodge Baba yupo na mchupuko Binti yupo na hawa Vijana wa Hovyo mziki ikawq bifu la kimya kimya Baba na Binti
Hahaha

Mi nilisikiaga ile ya baba kumuambia muhudumu amletee demu yoyote mkali anashangaa analetewa bnt yake
 
Ndio mkiweza mnapigana mtungo mkiwa wanne kabisa inakua raha maradufu
ukiiendekeza akili oooh inauma inauma utakufa utaiacha inaendelea kuchabangwa kama kawaida wanaume tusijal sana hizo kitu, mtu umemkuta sio bikira acha utashi wake umuongoze, kuna wengine wana asili ya umalaya hata ukimtimizia vyote atachabangwa tu
 
Mimi namwambia mwanangu twende tukawapige mtungo tu Hawa tupige 4some basi hawana maana haina haja ya kugombana sijui kupasuana huo ni ujinga
 
Utamaduni wa kiafrica unaruhusu mwanaume kuwa na wake zaidi ya wawili. Kuamua kuwa na mke mmoja ni ka ustaarabu tu.

Kwa hiyo soo ni la mwanandoa mwenzangu, naona hapo ndipo itakuwa tamati yetu.
 
Hapo kila mtu afanye kilicho mleta, then tutaulizana nyumbani kila mtu show ilikuwaje kwa upande wake alafu tutaulizana je mechi zetu huwa zinakidhi vigezo au tuendelee tu na mechi za kirafiki.
 
Back
Top Bottom