Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,837
- Thread starter
- #21
Unakumbuka kifo cha Mawazo na mazingira ya kuzikwa kwake?How?
Unakumbuka bomu likilolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema Olasiti Arusha?
Unakumbuka kupotea kwa Ben Saanane na majibu ya serikali?
Unakumbuka hotuba ya Magufuli Zanzibar juu ya kumshughulikia hasimu wa Dr.Shein ndani ya dk.5?
Unakumbuka katazo la kuonyesha vipindi vya bunge?
Unakumbuka katazo la kufanya mikutano ya siasa ?
Seriously unataka niendelee na hii litania?
Rais anakuwa too partisan!
Sherehe za uhuru zinageuka za CCM .
Siku ya wafanyakazi inakuwa siku ya CCM.
The list goes on and on !