Tupongezane wote tuliompigia kura Magufuli

Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
Kama wewe ni Mkatoliki lazima mpongeze kwa saana ...
 
Mkuu wanaokula wengine we we in sifa tu oh magufuli kiongozi sana oh tumbua majipu hivi we we utumbuaji majipu unakufaidisha nini?
 
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
Bravo citizens!!
 
Ni imetokea kumchukia huyu baba sana, kitendo chake cha ubaguzi wa waziwazi dhidi ya waislam kimekatisha tamaa sana waislam na hakikubaliki hata kidogo! najua ametokea kabila kubwa, na dini iliyohodhi structures nyingi za nchi so wengi watamtetea lakini ukweli ni kuwa anachofanya ni dhambi kubwa sana!
 
Kweli tulimpigia kura na sasa waislam tunaisoma namba kwa kuteua wakristo wenzie wengi ktk serikali yake
 
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
Uzi umedoda magamba wenzio wamekudharau kwa uzi wa hovyoooo
 
Siungi mkono kabisa hoja yako, japo nilishiriki kikamilifu kwenye kampeni kumtetea baba Askofu magufuli,
Lakini kwa serikali aliyounda sina imani nae, na tutarajie mgogoro mkubwa kuibuka nchini wa kidini au ukanda
Nguvu zako bora ungeenda kuchoma mkaa ukauza ungekuwa unanywea kimpumu
 
Bora useme ukweli.Chuki za kidini,kiitikadi,uhasama ,ukabila ,na ukanda unakuja kwa kasi ya ajabu,na Wanachama wa Chama Cha Mbweha naona wanfurahia sijui wanajua likija vurugu kwa vile watakuwa wamevaa kijani basi hawataguswa.!!!!!!!!!!!!!!!
Hawatoguswaaaaa? Hao ndio wakwanza kupokea rungu kama lile la ndugai
 
Kwa akili zako mbovu hata lumumba mwenzako humjui
Kwanza sijawahi kuwa mfuasi wa ccm hata siku moja, wala Cdm, nilishaamua kuwa mtanzania mzalendo,
Nilimuunga mkono baba Askofu magufuli kwa sababu alionyesha uzalendo,
Sasa nimemdharau na sitamuunga mkono na ntafanya kampeni kubwa kwa njia yyte kuwaonyesha waislamu wenzangu dhulma wanayofanyiwa na huyu Askofu mpya anaitwa magufuli
 
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.

Maisha bado magumu sna bado hamna tofaut na awamu iliyopita labda tusubir bajet yake mpya mana saiv kumlaumu sna siwez japo anapurukushani zisizo na madhara na namfananisha na navas winga wa man city mbwembwe nyingi kros zinaishia miguuni mwa mabeki nasubilia bajet yake kama itakuwa na unafuu kwa mtanzania wa kawaida saiv bado tunatumia ya uongoz uliopita
 
Kwanza sijawahi kuwa mfuasi wa ccm hata siku moja, wala Cdm, nilishaamua kuwa mtanzania mzalendo,
Nilimuunga mkono baba Askofu magufuli kwa sababu alionyesha uzalendo,
Sasa nimemdharau na sitamuunga mkono na ntafanya kampeni kubwa kwa njia yyte kuwaonyesha waislamu wenzangu dhulma wanayofanyiwa na huyu Askofu mpya anaitwa magufuli
Mkuu pole sana kwa kupoteza nguvu zako kwenye biashara ya juice wakati wa masika
 
Kwakweli wote tuliompigia kura magufuli tumefanya jambo la kishujaa sana kwa taifa letu na tunahitaji pongezi.

Kwa niaba yangu binafsi, ninawashukuru sana na kuwaombea maisha marefu kwani taifa linahitaji watu wenye maono kama nyie.

Kitendo cha kuona kua Magufuli ni mtu sahihi wa kuliongoza Taifa, kuliko lile kundi la upande wa pili, ni kiashirio cha uzalendo uliotukuka.

Ingawa sio rahisi kuwatanbua kwa majina au kuwapa medali wote lakini Magufuli anawashukuruni kwa kutumbua mafisadi wote ili Uchumi wa nchi ukue na hatimaye sote tuone fahari kuwa katika nchi inayoitwa Tanzania.

Basi kwa kua tumeshafanya jambo moja la kishujaa sana basi si vibaya kufanya na hili kushiriki kikamilifu kulijenga Taifa letu kwa kufanya kazi ipasavyo nakuhakikisha kua Majipi mengine hayapati nafsi kuturudisha tena nyuma.

Hongereni sana na Taifa linawashukuru kwa uzalendo wenu.
hivi na wewe upo kwenye ile payroll ya wale vijana 50 aliosema Kikwete pale uwanja wa namfua singida? hujaukwaa ukuu wa mkoa nini? kama bado subiri wa wilaya unakuja. ukikosa hata wa tarafa au kata sio haba.
 
Hakika najivunia kumpa kura yangu huyu kamanda wa ukweli.
Mungu amtangulie na ampe maisha malefu yeye, na familia yake kwa ujumla
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom