Tupike pasaka pamoja live

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
26,814
52,374
Hello

Kesho nafikiri tupike pamoja JF hapa hatua kwa hatu ratiba yetu itakuwa hivi

Morng
Saa moja na nusu tutaanda chai ambapo kutakuwa na bagia za dengu na maziwa
Mahitaji ya bagia

1) unga wa dengu
2) chapa maandazi / barking powder
3) dania
4) karoti
5) chumvi

Baada ya hapo mchana tutaanda bilian ambapo mahitaji yake yatakuwa kama yafwatavyo

1: Mchele wa basmat mimi nitatumia 1kg
2: bilian masala
3: Pilau mix
4: dania
5: Tomato paste
6: mtindi
7: hoho na karoti
9: nyama inategemeana na nyama ulio nayo
10: food color inategemeana na rangi unayo taka mimi nitatumia nyekundu na orange
11: limao
12: kitunguu maji cha kutosha
13: viazi au mayai inategemeana na mapendeleo yako unaweza usiweke


UPDDATE:

Live inaanzia hapa ~
Post in thread 'Tupike pasaka pamoja live'
Tupike pasaka pamoja live
 
Mi ni jibaba leo getoni niliamua kupika pilau hatua kwa hatua baada ya kuuliza swali humu namna ya kupika pilau, uzi upo. Nimefanikiwa kupika pilau safi na tamu, kumbe naweza kupika mpiko huo. Nashukuru wadau wote walionielekeza kupika mpiko huo. Picha zitakuja awamu nyingine ya mpiko
Inapendeza sanna karibu
 
Back
Top Bottom