Tupeane uzoefu mchujo wa sekretariet ya ajira.

Dogo kumbe unaongea kuhusu aptitude test ya TPA next week..

Kubabake walay, kazi unayo.
Maana watu mko zaidi ya 2000.
Nafasi ziko 20 tu.

Aptitude test itawapurua mpaka mbaki 50 tu for next session.
hiyo aptitude ni maswali ya darasani mkuu
 
Mkuu kwanza hongera sana!
Pili amini kuwa Sekretarieti ya ajira hakuna Magumashi, yani ukipiga fresh utaitwa tena kwa ajili ya Oral, Ila ikatokea ukipiga 100 Written then Oral ukazingua jua utapigwa chini tu Coz alama za mchujo zinategemea ufaulu wa test husika, hivyo Oral Na Written havifungamani Na hapo ndo wengi huwa wanazingua.
Ushauri:
Jaribu kupitia zile job responsibilities zilizoorodheshwa kwenye tangazo la kazi, baada ya hapo pitia maeneo yote ambayo unadhani swali linaweza kutoka kiwe kidogo ama kikubwa, ukimaliza sikilizia Hisia zako zinakwambiaje pitia zote hizo.
Angalizo:
Msuli unatakiwa urudi enzi za Kidato cha Sita, yani ama zako ama za Sekretariet.
Mwisho:
Kabla Na baada ya yote Muombe Mungu wako akujalie Yale yote uliyoyasema yatoke na uyajibu kwa ufasaha, Na hata yakitoka usiyoyajuwa basi uwe mwenye kutoa majibu sahihi! Kila lakheiri Kiongozi wangu!!!
 
Nature ya Maswali ya Utumishi hawatoagi huo Ujinga Taangu nilivyofanya mitihani yao ya Kupata kazi Banks ndo wanapenda model hiyo maswali ya utumishi yanakuaga manne tuu.
hayo manne yana base kwenye nini mkuu kama hutojali tena
 
Jiandae na nondo za class
Uelewa wa masuala ya kawaida
Sera za taifa
Malengo ya milenium
N.k
Changamoto unazoweza kukumbana nazo na jinsi ya kuzitatua
Mi nilienda mara moja , nikapata na sikuwa najuana na mtu pale.
Mkuu toka ufanye oral walichukua muda gani kukuita nashukuru Mungu I made to the final Jana ma wa natumia njia gani simu au wanaweka majina kwenye portal yao
 
Dogo kumbe unaongea kuhusu aptitude test ya TPA next week..

Kubabake walay, kazi unayo.
Maana watu mko zaidi ya 2000.
Nafasi ziko 20 tu.

Aptitude test itawapurua mpaka mbaki 50 tu for next session.
Habari mkuu Mungu alisaidia nikaingia fainali tukiwa pungufu. Ya idadi inayotakiwa
 
Mkuu kwanza hongera sana!
Pili amini kuwa Sekretarieti ya ajira hakuna Magumashi, yani ukipiga fresh utaitwa tena kwa ajili ya Oral, Ila ikatokea ukipiga 100 Written then Oral ukazingua jua utapigwa chini tu Coz alama za mchujo zinategemea ufaulu wa test husika, hivyo Oral Na Written havifungamani Na hapo ndo wengi huwa wanazingua.
Ushauri:
Jaribu kupitia zile job responsibilities zilizoorodheshwa kwenye tangazo la kazi, baada ya hapo pitia maeneo yote ambayo unadhani swali linaweza kutoka kiwe kidogo ama kikubwa, ukimaliza sikilizia Hisia zako zinakwambiaje pitia zote hizo.
Angalizo:
Msuli unatakiwa urudi enzi za Kidato cha Sita, yani ama zako ama za Sekretariet.
Mwisho:
Kabla Na baada ya yote Muombe Mungu wako akujalie Yale yote uliyoyasema yatoke na uyajibu kwa ufasaha, Na hata yakitoka usiyoyajuwa basi uwe mwenye kutoa majibu sahihi! Kila lakheiri Kiongozi wangu!!!
Mkuu nashukuru tulifika oral jaa tena tukiwa pungufu ya idadi tajwa Mungu akitufanyia wepesi tutaitwa again thanks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom