Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 85,693
- 168,333
Oooh na nyie mkikaidi inakuwaje?Mwanaume ampende mke, na mke amuheshimu mume! Hilo ndio agizo ama nakosea!?
Sasa vipi mke akikaidi hilo? Unadhani kuna namna hapo zaidi ya kumfumua. Maana wengine hawatoagi hata nafasi ya kuweka mambo suluhu anaweka ligi mwanzo mwisho.