Tupeane mbinu za kutoboa usaili wa idara ya uhamiaji

Mr nobby

Senior Member
Aug 25, 2023
194
390
Wakubwa habarii za muda huu?

Hii interview ya Uhamiaji ndio ya kwanza katika maisha yangu maan nimebahatika kuitwa kwa fani ya umeme (electrical engineering) ngazi ya diploma .

Kwa hapa mwenye kujua mchakato unavoenda naomba anipe mbinu ikiwa pamoja na possible za maswali yanayo husu electrical engineering itapendeza zaidi. Asaanten.
 
Niliwahi kufanya japo nilifail inamambo uraia mara utaje border kumi tanzania mara zanzbiar inamikoa mingp mara tanzania inamikoa mingp mara utaje wizar tano za ulinzi utaje kifo cha sokeine pia virefu taasis ambaz tanzania zipo pia jua eac mwenyetiki wake makao makuu kirefu cha pccb zingn nimesahau ila ndioo ivyo baadhi kama unajiwez igia na simu
 
Wakubwa habarii za muda huu?

Hii interview ya Uhamiaji ndio ya kwanza katika maisha yangu maan nimebahatika kuitwa kwa fani ya umeme (electrical engineering) ngazi ya diploma .

Kwa hapa mwenye kujua mchakato unavoenda naomba anipe mbinu ikiwa pamoja na possible za maswali yanayo husu electrical engineering itapendeza zaidi. Asaanten.
Hapo jitaidi tu connection
 
Uhamiaji ni undugulazition 100%.

Miaka ile hadi waliumbuliwa gazetini.

Hao jamaa hupati kazi kama huna mtu juu huko.
 
Back
Top Bottom