Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,495
- 8,816
Vyovyote sawa. hata mkilala chali au kifudifudi na kufundi fundi au kmachale machale wanangu.Tufumbe na macho kwenye hayo maombi au tuombe huku macho ni kodo bin kodoa?
Hiyo sala atuongoze yule mgombea urais wa Kenya aliyekuwa ras.Lazima tutamaliza kwa matusi mazito sana.Vyovyote sawa. hata mkilala chali au kifudifudi na kufundi fundi au kmachale machale wanangu.
Yule prof wa mibangi. Poa Mungu hana ubaguzi wala uchaguziHiyo sala atuingoze yule mgombea urais wa Kenya aliyekuwa ras.Lazima tutamaliza kwa matusi mazito sana.
Naunga mkono hoja, msaliti hatakiwi kupewa baraka zozoteView attachment 3232758
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa kuwa msaliti na nyemelezi mkubwa. Tumuombee ashindwe ili ima kiumane au tuone atakwenda wapi baada ya kubwagwa.
Karibuni.