Tunza vizuri sehemu za mwili wako zilizoota nywele

Kuna ambao huwa hawanyoi kabisa, nywele zimekakamaa kama steal waya halafu zipo pale kati kunako utamuz. Ukitaka kupapasa hiyo sehemu unakutana na msitu mnene wa nywele
 
Hawa wanaopata shoo kila mara huwa wananyoa sana, ni wasafi huko, wanahofia kuchekwa na kudharauliwa na wapenzi wao kuwa ni wachafu endapo hawatanyoa sehemu hizo.
 
Jamaa mmoja alikuwa na tatizo kwenye rectum, ikabidi aende kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Kufika hospitali doctor akambwambia inabidi watumie protoscope(kifaa kinapitishwa kwa anus) ili kufanya tests.

Jamaa hakuwa na tabia ya kunyoa nywele za matako, anasema aliaibika sana, nurse anamwambia kwa nini ameacha hadi nywele zimekuwa za njano...

Usafi ni muhimu sana!
 
Back
Top Bottom