Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,100
- 22,091
Ni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu.
Ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili pawe nadhifu katika uasili wake.
Na ni vizuri zaidi kutumia vifaa vipya vya kunyolea kama vile nyembe ambazo ni bora, kutumia vifaa butu na kuyakwangua kila siku kama vocha ni kuyakomaza sana maeneo hayo na kuyafanya yawe meusi mno, yenye sugu na kwa baadhi yanatisha kwasabb hayatunzwi vema.
Ni muhimu kuzingatia hilo.