Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 535
- 879
Ndiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu yeye tu yani uchaguzi.
John Heche anaeleweka haraka kwa wananchi kwa sababu anazungumza namna atakavyotatua shida zao na siyo kuzungumzia shida za wanasiasa tu