johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,259
- 168,852
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi
Ahsanteni Sana 😂😂
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi
Ahsanteni Sana 😂😂