Tundu Lissu utakaposhika dola usirudie makosa haya

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,864
5,695
Sisi wananchi bila shaka tutakupa Urais miezi michache ijayo Mh. Tundu A. Lissu. Uadilifu na uzalendo wako kwa nchi hii ni wa kutukuka kila mtu mwenye Akili njema atakupa kura ya kuliongoza taifa hili.

Ila tunakueleza ukiwa Rais usifanye mambo ambayo hatukukutuma, jifunze kwa yule bwana Rais Magufuli. Wew nenda Ikulu kafanye mambo haya kwetu.

1. Fanya maendeleo kwa nchi na watu ila tuachie Uhuru na Demokrasia yetu.

2. Lipa wafanyakazi maslahi yao bora, Wapandishe vyeo kwa wakati.

3. Wakulima usitunyang'anye Mazao yetu na kupiga shangazi zetu ila tutafutie masoko ya uhakika .

3. Sisi wafanya biashara usitupole mali zetu na kutufunga bila hatia.

4. Acha Uhuru wa habari utamalaki usitubambikie kesi za uhujumu uchumi.

5. Tunaomba uwasake watu wasio julikana popote pale walipo.

6.Usihangaike kuua upinzani hatukukutuma hayo. Kuna jitu liliahidi kuwa upinzani utakuwa umekufa mwaka huu cha ajabu Upinzani unamuondoa yeye.

Wamefanya mikutano miaka yote mitano peke yao leo wanatetemeka wapinzani kuongea kwa muda wa miezi mitatu tuu wameanza kujinyea nyea huko walipo.

Mnahofu kitu gani hao wapinzani si wamesha jifia? Ninyi si mmefanya mengi mazuri kwa wananchi? Kiwewe cha nini jaman?
Nyerere wakati akitangaza vita na Idd Amini alisema hivi
"Wananchi tulieni muone vijana watafanya nini "

Na sisi Watanzania tunawaeleza ccm tulieni muone Watanganyika watafanya nini hapo Oktoba. Kichapo kile kile alicho chapwa Nduli Idd Amin Dadaa ndicho atakacho Chapwa huyo Pimbi Nduli wa pili mvuruga Amani yetu .

Maendeleo hayana vyama.
 
Maneno Kuntu. Amekusikia na atafanyia kazi Raisi Mtarajiwa Tundu Antipas Lissu

Uzuri ni kuwa, kutokana na ukweli kuwa hoja kuu ya Chama chake ni kupitisha katiba ya wananchi watakapoingia tu madarakani, katiba ya Warioba, hayo yote lazima tu yatapatikana.

Msingi mkuu wa hayo yote ni katiba ya wananchi ambayo hiyo ndo hoja kuu ya Chadema mwaka huu kwenye ilani yao!
 
Sisi wananchi bila shaka tutakupa Urais miezi michache ijayo Mh. Tundu A. Lissu. Uadilifu na uzalendo wako kwa nchi hii ni wa kutukuka kila mtu mwenye Akili njema atakupa kura ya kuliongoza taifa hili.

Ila tunakueleza ukiwa Rais usifanye mambo ambayo hatukukutuma, jifunze kwa yule bwana Rais Magufuli. Wew nenda Ikulu kafanye mambo haya kwetu.

1. Fanya maendeleo kwa nchi na watu ila tuachie Uhuru na Demokrasia yetu.

2. Lipa wafanyakazi maslahi yao bora, Wapandishe vyeo kwa wakati.

3. Wakulima usitunyang'anye Mazao yetu na kupiga shangazi zetu ila tutafutie masoko ya uhakika .

3. Sisi wafanya biashara usitupole mali zetu na kutufunga bila hatia.

4. Acha Uhuru wa habari utamalaki usitubambikie kesi za uhujumu uchumi.

5. Tunaomba uwasake watu wasio julikana popote pale walipo.

6.Usihangaike kuua upinzani hatukukutuma hayo. Kuna jitu liliahidi kuwa upinzani utakuwa umekufa mwaka huu cha ajabu Upinzani unamuondoa yeye.

Wamefanya mikutano miaka yote mitano peke yao leo wanatetemeka wapinzani kuongea kwa muda wa miezi mitatu tuu wameanza kujinyea nyea huko walipo.

Mnahofu kitu gani hao wapinzani si wamesha jifia? Ninyi si mmefanya mengi mazuri kwa wananchi? Kiwewe cha nini jaman?
Nyerere wakati akitangaza vita na Idd Amini alisema hivi
"Wananchi tulieni muone vijana watafanya nini "

Na sisi Watanzania tunawaeleza ccm tulieni muone Watanganyika watafanya nini hapo Oktoba. Kichapo kile kile alicho chapwa Nduli Idd Amin Dadaa ndicho atakacho Chapwa huyo Pimbi Nduli wa pili mvuruga Amani yetu .

Maendeleo hayana vyamaa.
Jamaa umeamua kumvua nguo Mtu Yule.
 
nimecheka kwa maana kuu mbili kwanza huenda umjui huyo tundulisu ni nani na sifa zake huzijui, kwa kifupi bado alikuwa anatakiwa kugombea ubunge na sio uraisi kwa nafasi ya uraisi hafai na atapata kura chache sana hutaamini jamani tuheshim cheo cha uraisi yafadhali unawezaje kumpa uraisi mtu mwenye mihemko kama yule

Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
 
Tundu lissu labda atashika dola ya JF ila sio Tanzania !
Tunaomba muheshimiwa Lissu utuondole vikwazo kwenye biashara kwanfano ukitaka ku export bidhaa utakiwa kuwa na leseni mbili au tatu kutoka kwenye mamlaka tofauti tunashindwa na ndio maana shiling inashuka thamani kila siku
Mfumo wa kodi zetu sasa umekua kandamizi kiasi cha kwamba watu wanaofikiria kuanza biashara kujifikiria mara mbilimbili
 
Back
Top Bottom