Somo ninalolipata hapa ni hili hapa:
1. Watumishi wa umma wana imani na Tundu Lissu. Na kwa mara ya kwanza wametambua uwepo wa chama cha wanasheria nchini chini ya Rais Tundu Antipas Lissu (Kichwa).
2. Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu haikuwashirikisha na haiwatendei haki wanufaika (beneficiaries) wa mikopo hiyo. mikopo imegeuka kitanzi kwa wakopoji ambao kimsingi wanapaswa kusomeshwa na serikali yao.
3. Tundu Lissu, kwa vile watu mbalimbali wakiwepo watumishi wa umma, wanakufuatilia na kukuamini fanya uwezalo kutamka angalau neno moja la kisheria juu ya kadhia hii aliyowasilisha huyu mtanzania. Watu wakikuamini na kukuthamini nawe una deni la kuwashukuru na kuwahudumia kwa kadri ya uwezo wako. Sio kama yule tuliyempigia kampeni na kura halafu anatugeuka kwa kusema amefika hapo alipo kwa nguvu zake.