nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
jamani nashauri lissu 2025 agombee urais.maccm wakisikia jina la lissu wanahara.
kweli kabisa huyu jamaa anafaaa huyujamani nashauri lissu 2025 agombee urais.maccm wakisikia jina la lissu wanahara.
Pole Mkuu, huyu jamaa leo ameadhirika kwa kuwakuwadia mabepari uchwara.
Yeye sawa na Halima watu wasiopenda maendeleo majimboni mwao.
Najiuliza lakini sipati jibu kabisa, ivi alikuwa anatafuta nini na kwa maslahi ya nani kutoka kwa Johnson mwanyika( ex-attorney General) ?
duh! akili ya ajabu kabisa, yaani wananchi wa singida mashariki hawana haki ya kumkumbusha mbunge wao, juu ya maendeleo ya jimbo lao kwa sababu eti majimbo mengine ya ccm nayo hayafanyi vizuri!Kwani majimbo yanayongozwa na wabunge wa ccm yana maendeleo gani? Wengine si tuliambiwa wanakula viwavi! Kabla ya Lisu jimbo hilo lilikuwa linaongozwa na mtu wa ccm kwa miaka mingi! Acheni kelele nchi hii ilishadumazwa na uongozi wa ccm!
UKIMWANGALIA HARAKA HARAKA tUNDU lISU UNAWEZA KUSEMA NI NGULI WA SHERIA tANZANIA,LAKINI UKIJA KATIKA UHALISIA UNAONA NI MTU WA UJANJA UJANJA TU KAMA AMBAVYO KIPINDI CHA NYUMA MAKARANI NA WAZEE WA MAHAKAMA WALIVYOKUWA WANAKUBALIKA KATIKA JAMII KUWA WANASHERIATUNDU LISSU mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Rais wa Chama cha wanasheria TLS, mwanasheria Mkuu wa Chadema, Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake hata ujenzi wa Choo kimoja, Mara zote wajibu wa kiongozi ni kuonyesha njia kwa Wale unawaongoza, kuonyesha njia na kuifuata njia hiyo kwa kushirikiana na wananchi wako kujiletea maendeleo.
Kwa Wale wanaofutilia kwa karibu siasa za Wilaya ya Ikungi yenye Majimbo mawili yaani Singida Mashariki na Singida Magharibi wanaujua huu ukweli, Lissu amezidiwa mbali na Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi kwenye suala la Maendeleo ya wananchi, Lissu ni tajiri na Mwenye Mapato makubwa na umaarufu mkubwa lakini yote hayo hayana faida kwa wapiga kura wake, Yeye ni mtetezi wa chama, mfia chama, mnazi wa chama na mtumwa kwa chama chake tu.
Tangu aingie Bungeni 2010 hadi leo hakuna la Maana alilofanya Jimboni au alilololianzisha kwa ajili ya Maendeleo Jimboni kwake, hayuko karibu na wananchi, hatembelei jimbo Lake na kukaa na wananchi kupanga mipango ya Maendeleo, yeye huwa anaenda Ikungi anafanya mkutano analalamika weee anaondoka kurudi Dar es salaam. Hata darasa likiezuliwa na upepo yeye anaamini Serikali itafanya hana mpango wa kufanya wala kuhangaisha kichwa chake kuhakikisha darasa lililoezuliwa na upepo linarekebishwa.
Huyo ndio Rais Tundu Lissu , vyeo kibao lakini havina msaada kwa wapiga kura wake.
Hivi umeshawahi kufika jimbo la Mtera wewe?TUNDU LISSU mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Rais wa Chama cha wanasheria TLS, mwanasheria Mkuu wa Chadema, Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake hata ujenzi wa Choo kimoja, Mara zote wajibu wa kiongozi ni kuonyesha njia kwa Wale unawaongoza, kuonyesha njia na kuifuata njia hiyo kwa kushirikiana na wananchi wako kujiletea maendeleo.
Kwa Wale wanaofutilia kwa karibu siasa za Wilaya ya Ikungi yenye Majimbo mawili yaani Singida Mashariki na Singida Magharibi wanaujua huu ukweli, Lissu amezidiwa mbali na Elibariki Kingu Mbunge wa Singida Magharibi kwenye suala la Maendeleo ya wananchi, Lissu ni tajiri na Mwenye Mapato makubwa na umaarufu mkubwa lakini yote hayo hayana faida kwa wapiga kura wake, Yeye ni mtetezi wa chama, mfia chama, mnazi wa chama na mtumwa kwa chama chake tu.
Tangu aingie Bungeni 2010 hadi leo hakuna la Maana alilofanya Jimboni au alilololianzisha kwa ajili ya Maendeleo Jimboni kwake, hayuko karibu na wananchi, hatembelei jimbo Lake na kukaa na wananchi kupanga mipango ya Maendeleo, yeye huwa anaenda Ikungi anafanya mkutano analalamika weee anaondoka kurudi Dar es salaam. Hata darasa likiezuliwa na upepo yeye anaamini Serikali itafanya hana mpango wa kufanya wala kuhangaisha kichwa chake kuhakikisha darasa lililoezuliwa na upepo linarekebishwa.
Huyo ndio Rais Tundu Lissu , vyeo kibao lakini havina msaada kwa wapiga kura wake.
Kama ameweza kuwabwaga CCM awamu zote mbili na kupewa uchifu na wananchi wake ujue kuwa wananchi wameridhika na utendeji wake hizo zingine ni mbwembwe za kutoka Lumumba.Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake
WEWE UMETUMWA SIO BURETUNDU LISSU mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Rais wa Chama cha wanasheria TLS, mwanasheria Mkuu wa Chadema, Wakili wa kujitegemea hana uwezo wa kuhamasisha maendeleo ndani ya Jimbo Lake hata ujenzi wa Choo kimoja, Mara zote wajibu wa kiongozi ni kuonyesha njia kwa Wale unawaongoza, kuonyesha njia na kuifuata njia hiyo kwa kushirikiana na wananchi wako kujiletea maendeleo.