Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa ndio kifo cha chadema kinakuja

Because, utawala hauwezi kukubali lissu awe mwenyekiti

Na lisu akikosa hiyo nafasi lazima ataondoka chadema kwenda kuanzisha Chama kingine au ataenda Kwa Zitto
Hauwezi kukubali kwani huo utawala ndio unapiga kura? Labda useme mazingira ya kisiasa yatakuwa magumu zaidi kwa CHADEMA.

Lissu hawezi kwenda ACT labda kuanzisha chama kipya.
 
Sasa ndio kifo cha chadema kinakuja

Because, utawala hauwezi kukubali lissu awe mwenyekiti

Na lisu akikosa hiyo nafasi lazima ataondoka chadema kwenda kuanzisha Chama kingine au ataenda Kwa Zitto
Chama cha zitto sio chama cha kuhamia
 
Hauwezi kukubali kwani huo utawala ndio unapiga kura? Labda useme mazingira ya kisiasa yatakuwa magumu zaidi kwa CHADEMA.

Lissu hawezi kwenda ACT labda kuanzisha chama kipya.

Utawala ndio unaamua hata ww uamke saa ngapi au ununue bidhaa flan Kwa sh ngapi

So huo huo utawala hauwezi kuruhusu lisu awe mwenyekiti because Kwa tabia la lissu then vurugu zitakuwa kila siku, maandamano yatakuwa kila siku
 
Ccm hawezi kuruhusu lisu apite, watafanya juu chini lazima ashindwe, kwann, kwa sbb lisu ndio mpinzani wa kweli Tanzania hao wengine ni shadow
 
Back
Top Bottom