Tundu Lissu ni Magufuli aliyechangamka

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
1,128
3,169
Shujaa Hayati Rais John Magufuli 2020 akiwa Ikungi jimboni kwa Tundu Lissu alikiri mbele ya Wazee wa Singida kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana wao Tundu Lissu lakini alikataa,kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Rais John Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili wanafanana, Hayati Rais John Magufuli alikuwa mzalendo kwa asilimia 120% na Tundu Lissu ni Mzalendo kwa asilimia 99% nikitoa mfano wa kipimo cha DNA kikitoa jibu la 99% au 100% huyu ni mtoto wako tu,hivyo basi kwa tafiti na mtazamo wangu Tundu Lissu na Hayati Rais John Magufuli wanafanana tofauti ni asilimia chache tu.

Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani sana kuona Tanzania ikisonga mbele,kwa sasa tuna Tundu lissu kimtazamo ameanza na No reform No Election ukizama ndani zaidi Tundu Lissu anaumia sana rasilimali za nchi zikichezewa na kufanywa mali ya watu wachache,binafsi niliamini sana katika itikadi ya Hayati Rais John Magufuli sikuamini sana kwa Tundu Lissu mpaka hivi sasa ninapogundua kumbe Tundu Lissu nae anazo itikadi za Hayati Rais John Magufuli,niwaombe watanzania tofauti ya Tundu lissu na Hayati Magufuli zilikuwa za kimtazamo mmoja akidhani mwingine ni msaliti wa nchi mwingine akidhani mwenzake anakandamiza demokrasia,lakini wote walikuwa ni kulwa na doto,tumebakiwa na Tundu lissu na Chadema yake,tumpe support kwa hali na mali,ukombozi wa nchi hii ni sasa .

Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Hayati Rais Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.Enzi za Hayati Rais Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani,akina Mwafulani wanajua wakaenda kupiga umbea kwenye simu,wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake,Hayati Rais John Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua,aliogopa kuambiwa washauri wake walimshauri vibaya, Tundu Lissu sasa ni Mwenyekiti wa Chadema basi washauri wake wajiandae vilivyo maana kumshauri Mwanasheria msomi tena nguli ni kazi kubwa,wao wajiandae kupokea ushauri kutoka kwa Tundu Lissu ama kutumbuliwa,

Hayati John Magufuli aliichukia rushwa, nae Mwenyekiti Tundu Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Ndugu Wenje anamjua sana Lissu.Hayati Magufuli alikuwa na moyo mweupe hila haikai moyoni mwake vivyo hivyo na Tundu Lissu hawana subira kwenye jambo la hila kwa Taifa la Tanzania lazima watalisema Watanzania walisikie,kabla ya Magufuli kuwa Rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais Mafisadi watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani,kama ningepewa kushauri kwa sasa WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu,Hayati Magufuli nilimtathmini na nilikuja na jibu kuwa ni "Verified" naendelea kumtathmini Tundu Lissu,japo kwa asilimia hamsini,he is half verified.

-Ushauri kwa Tundu Lissu,

Naamini ukijiangalia kwenye kioo haufanani na Hayati Rais John Magufuli ila sisi tunaokuona tunajua unafanana na Hayati Rais John Magufuli,historia inawatofautisha kwenye mitazamo yenu na nitaiweka Ili kuweka kumbukumbu sahihi ya nani aliibuka mshindi kwenye mitazamo yenu,kama Hayati Rais Magufuli angekusikiliza basi;-

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Pengine Tundu Lissu uliamini kwenye kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Mwaka 2023 bwawa lilijazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume mtazamo utabiri wako Tundu Lissu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lissu ulikuwa na mtazamo tofauti sana na ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote kama nimekosea basi nisahihishwe kwenye mtazamo wa Tundu Lissu juu ya Treni ya Mwendokasi.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu ulikuwa na mtazamo tofauti sana juu ya Serikali kuhamia Dodoma mlifukiri huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dar es salaam kwani ndoto za Mwalimu Nyerere zimepitwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo Derikali yote ipo Dodoma,hongera kwa Hayati Rais John Pombe Magufuli.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Tundu Lissu ulisoma kwa kodi za watanzania lakini uligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia kama Mwanasheria nguli sikatai ungeweza hata kuajiriwa na Acacia ili kuitetea MIGA ,Hayati Rais John Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo,pengine hatua hizo zisingekuwepo kama Hayati Rais Magufuli angekusikiliza Tundu Lissu na ulienda mbali kuita mafanikio hayo ni udikteta mkubwa sijui naamini kwenye uzalendo wako ila sijui wewe ungechujua njia ipi kupata suluhisho la tatizo la kuibiwa madini ya Watanzania!?

Nimalizie wakati wa Korona,Tundu Lissu ulifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown,Je uliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga,kwamba kula yao ni lazima watoke? Hayati Rais Magufuli alijua aina ya maisha ya Watanzania na mbinu gani aitumie,kwa muda ule,Je Tundu Lissu ungekuwa ndiye rais,ungewaua wananchi wengi ama kwa njaa au kwa risasi ili kutekeleza lockdown ambayo wananchi wangeigomea,kwangu,

Hayati Magufuli nampa 100 maana alithibitisha ushujaa wake wa mwanajeshi kufia vitani,Magufuli was a hero,wakati wa mkataba wa mazingira wa Kyoto, kama sitakosea, juu ya athari za viwanda kwenye mazingira, nchi za Magharibi zilikataa kuacha uzalishaji wa viwanda wakisema kwa wakati huo economic growth ilikuwa ni muhimu ukilinganisha na umuhimu wa kutunza mazingira. Na kwa maneno mengine ni kuwa kama kuharibu mazingira ilikuwa ndiyo njia pekee ya kufikia maisha mazuri kwa watu wao basi ilikuwa ni lazima yaharibiwe.Hayati Magufuli aliliona na kulijua hilo.

Huyu alikuwa shujaa,niseme tu tungekuwa na Hayati Magufuli kwa muda mrefu, najua tungechoka njaa ya muda,lakini baadaye tungepata shibe ya muda mrefu,vikwazo vya Magharibi vingekuwepo,lakini vingekuwa ni fursa ya maendeleo kwetu kama ilivyo kwa Iran na mataifa mengine,niseme tu western solutions are not African problems.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam,
0755078854

-Bachelor of business administration in international business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the effects of microfinancing on Poverty reduction.
 
Yeye ni jizi namba moja. Mwanasheria aliyeungana na wageni kutengeneza mikataba ya kuliibia taifa madini

Ni mnafiki tuu na
Hana uzalendo hata 0.00001%
We unamasingizia, weka ushahidi hapa tuone. Lisu ndio mzalendo namba moja asie na makando kando.
 
Hapo kwenye asilimia umekosea sana.
Lissu =100%
Magufuli(Hayati)= 70%.
 
Nimesema sana na sitachoka kurudia tena na tena. Tafadhali sana Mwamba Magufuli asilinganishwe na vitu vya kishenzi na vya kipumbavu!! Tafadhali sana!!
 
HHuy nae awashwe hospital!! Kissy ndio alikuwa serikalini kutengeneza mikataba ya kipumbavu ya ccm kuiba mali zetu?. Hivi NYIE ccm mnajitambua kweli.
Yeye ni jizi namba moja. Mwanasheria aliyeungana na wageni kutengeneza mikataba ya kuliibia taifa madini

Ni mnafiki tuu na
Hana uzalendo hata 0.00001%
 
Hawa wajinga huwa wanatoka wapi? Jiwe alikuwa wa hovyo sana, alikuwa na mihemko ya kipuuzi sana! Eti rais wa wanyonge! Wanyonge ni watu gani?
Wewe ndie wa hovyo, una tija gani kwenye jamii...angalau magufuli tumeona bwawa la umeme, sgr na mengine mengi..ulitaka akuache ufanye ufisadi unavyotaka..kenge wewe!
 
Magufuri aliyesema wapnzan wanatuchelewesha akavuruga uchaguz ili nchi iwe ya chama kmoja at last leo ndo haya tuyaonayo, magu aliyekuwa akfka kwny majmbo ya wapnzan anawananga watz kwmb wakiwachagua hawatapata maendeleo akasahau majmbo mengi yalikuwa yako chn ya chama chake na hakukuwa na maendeleo hayo aliyokuwa anayasema, magu wa kuzuia mapanki ya madini wkt minofu ya madini ikawa inaenda ulaya kama kawa au mwngne, uzalendo wa kudanganya watz anatumia pesa za ndan wkt ni mikopo na misaada au mwngne, bwawa la nyerere lina msaada gn ikiwa bei ya umeme ni ileile, tunaanza nunua umeme ethiopia, umeme wa mgao, SGR hasara tu hakuna faida, ndege hasara hakuna faida huu si ni upuuz huu.
 
JPM alimjua na alimnyoosha
Tundu
bhana hahaha akabaki analilia makinikia haha
🤣🤣🤣🤣 Masiara hayo! Yuko wapi magufuli na yuko wapi Tundu Lisu hivi sasa. Lisu atawanyoosha wote wanaompinga na kumfanyia uadui tuache muda uamue. Haki na kweli siku zote hua inashinda.
 
Back
Top Bottom