Tundu Lissu: Naipenda Yanga, ila siipendi rangi yao inanikumbusha mabaya

Huyu nahisi atakuwa amekalibia kuchanganyikiwa pesa za wakwepa kod ya acacia hazitamuacha salama huyu jamaa

Kuchanganyikiwa unachanganyikiwa wewe

Maana hata kwa akili tu Viatu vyake vinakushinda
 
Basi asile mboga za majani, asile fenesi, asile ndizi mbichi/mbivu,asile pilau ya njano,ashindie uji wa ubuyu na ugalii kama alipokuwa mdogo huko isuna.
Uji wa ubuyu na viwavi jeshi ni chakula ya wagogo huko dodoma.kwenye makambi ya wana CCM waliokunywa maji ya bendera.
 
TINDU LISSU BANA,INA MAANA UKIKUTA BRIEFCASE YA KIJANI NDANI KUNA DHAHABU ZA NJANO UTAACHA NA KUPITA PEMBENI????SIASA BANA
Ataikuta wapi hiyo briefcase nyie vijana wa Lumumba mmechanganyikiwa nini.
 
Hata Mimi kwa jinsi ninavyoichukia CCM rangi za kijana nyumbani kwangu nimepiga marufuku.
 
Uji wa ubuyu na viwavi jeshi ni chakula ya wagogo huko dodoma.kwenye makambi ya wana CCM waliokunywa maji ya bendera.
Uji wa ubuyu na ugali wa mtama ndio kilikuwa chakula maalumu wenyeji wa ikungi.wagogo huwa hawali viwavi jeshi.
 
Uji wa ubuyu na ugali wa mtama ndio kilikuwa chakula maalumu wenyeji wa ikungi.wagogo huwa hawali viwavi jeshi.
Wawapi wewe mpaka tulitangaziwa kwenye vyombo vya habari wagogo wana njaa wanakula viwavi jeshi na uji wa ubuyu.
 
Kuna mambo muhimu walipaswa kumuhoji sio haya mambo kuvuliwa suruali., kuna viongozi wa CUF hawajulikani walipo kule Kibiti hawa waandishi kama kweli ni waandishi walitakiwa watambae kwenye mada kama hizi.,

Unamuhoji mwanasiasa kama mtu wa kawaida wa mtaani wakati kuna matatizo kibao kwenye jamii tena yanatokea kila siku.
 
Jamaa anasema hata kombe la Yanga lilipoenda bungeni hakulikaribia sababu ya rangi ...hahaaa nadhani ilikuwa utani though

Sifa moja ya mnafiki na muongo, hana kumbukumbu nzuri. Lissu anaichukia rangi ya yanga lakini anapokea 'wavaaji' wa hizo rangi tena baada ya kuwatangazia Watanzania kuwa ni mafisadi. Au anafikiri kila mtu ni 'msahaulifu' kama yeye?
 
Wawapi wewe mpaka tulitangaziwa kwenye vyombo vya habari wagogo wana njaa wanakula viwavi jeshi na uji wa ubuyu.
Mara ngapi tunasikia,mkoa fulani watu wanakula mizizi,ukame ukizidi labda sio eti wagogo wanapenda kiroho saafi kula viwavi jeshi.
 
Pana shabiki mmoja yanga mwenzangu tulikaa mahala akaletewa kiti chekundu aliwaka huyo basi mimi nikatoa noti ya elfu kumi kumpa cha ajabu aliidaka juu juu.
 
Back
Top Bottom