Tundu Lissu: Mwakyembe anajipendekeza kwa Rais Magufuli, aongelea hoja ya kumvua uanachama

Kama "Mtakatifu" alivyotimiza ndoto za kuwa Raisi wakati hakuwa na uwezo wa kuongoza mpaka sasa hakuna ambacho ameweza kufanya chenye faida kwa wananchi! Hali ya Uchumi imezidi kuwa mbaya, ugumu wa maisha umezidi kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Point yangu ni baada ya kuona hawezi kuwa rais wa nchi au hata chadema ya dj kuleta rais ameona vyovyote vile angalau awe na title ya 'rais', inayemsema wewe ndoto zake zimetimia.
 
Point yangu ni baada ya kuona hawezi kuwa rais wa nchi au hata chadema ya dj kuleta rais ameona vyovyote vile angalau awe na title ya 'rais', inayemsema wewe ndoto zake zimetimia.
Tundu Antiphas Lissu atagombea uraisi 2020
 
Si kama yeye anajipendekeza kwa mwenyekiti wake? Mm naona vice versa tu hapo...lazima umnyenyeke bosi wako.
 
Majukumu hasa ya TLS ni yapi? Naona wanataka kujikita zaidi kwenye upinzani na serikali. Sina shida kama hayo ni baadhi ya majukumu yao tatizo ni pale kupingana na serikali inpoonekana kuwa ndio kazi na jukumu lao pekee.
Ila anachokitafuta atakipata muda utasema mkuu
 
Fuatilia madai ya TLS hivi karibuni, ikiwapo kufungua kesi kupinga makato ya 15% bodi ya mikopo.
Sasa hilo kosa liko wapi?
Ule mkataba wa loanboard si unasema mtu atakatwa asilimia 8!
Kwahiyo TLS kutetea RAIA kama mkataba mliowasainisha wananchi unasema asilimia 8 sio 15 ni kosa?
 
Majukumu hasa ya TLS ni yapi? Naona wanataka kujikita zaidi kwenye upinzani na serikali. Sina shida kama hayo ni baadhi ya majukumu yao tatizo ni pale kupingana na serikali inpoonekana kuwa ndio kazi na jukumu lao pekee.
Hebu tusaidie majukumu ya TLS Hapa ili twende vizuri mkuu?
 
Huyu nae, anatamani angekuwa Waziri, hivi anakaa kabisa na kusema mtu anajipendekeza kwa bosi wake.

I guess ndivyo anavyofanya kwa mabosi wake yeye huko kwenye chama. Kwanza akae asali maana dili lao la yeye kumfanya Masha ajiondoe kuwania uraisi wa TLS alafu apewe ubunge wa EALA naona unawaweka katika kukosa usingizi kwa sasa.

Yeye mshinda mahakamani hata sijui kama anakuda wa kutumiakia wa jmboni kwake au hata ya muhimu ya TLS. Hata website yao inatia aibu iko out of date etc ha ha ha haaaaaa

Ile ulirusha jana analalamika awana uhuru awamu hii wa kutafuna ovyo pesa za wananchi, na humo kaongelea tena? Eeeeh

Hapa kazi tu
Haaaahaaa . Tundu Lissu ni mashine ingine kabisa nashauri mumuache maana yake huyu mtu ni level nyingine kabisa.
Hujambo lakini bibie cocochanel
 
Li

Lisu ni kichaa kiboko yake ni prof kabudi pale hafurukuti. Lisu kataika maisha yangu yote sijawahi kumkubali ni kilaza Wa sheria ndiyo mana bunge limekaa kwa amani baada ya kabudi kuna maana alikuwa anapiga kelele tu bungeni hana anachojua
Hana anachojua huku anawaburuza mahakamani mawakili wenu wa CCM? Haaahahaaa
Kilaza wa sheria asingekuwa anashinda kesi. Magufuli anatamani lissu anyongwe.
 
Sasa hilo kosa liko wapi?
Ule mkataba wa loanboard si unasema mtu atakatwa asilimia 8!
Kwahiyo TLS kutetea RAIA kama mkataba mliowasainisha wananchi unasema asilimia 8 sio 15 ni kosa?

Unaweza kutenga muda kidogo tu ukarudi kusoma tena nilichokiandika mwanzo kabisa ukiwa umetulia vizuri? Tafadhali naomba ufanye hivyo. Namaanisha lile bandiko nililoanza kwa kuuliza majukumu ya TLS
 
Huyu jamaa kaenda kuiangusha TLS na si kuijenga kama baadhi ya watu wanavyofikir.
Anataka kutunishiana misuli na serikali kisiasa zaidi.
Serikali haijawahi shindwa hata Mara moja na Raia yeyote yule. Sana sana hupuuza tu na si kushindwa
 
Back
Top Bottom