Tundu Lissu: Mimi ni mgombea pekee ninayeweza kutetea maslahi ya mawakili

Mimi sio mtu wa sheria, ila ningekuwa napiga kura ningempa Lau Masha huyo kaka picha zake za kampeni zinavutia na u handsome wake fulani. Maneno mazuri katoa leo pia

Hahahaaaaaaaaaaaaa

View attachment 478144
cocochanel nshakwambia hachana na vidampa....yani unampenda mtu sababu ya picha inavutia.....dah.....kumbe ndomana unamtetea bashite makonda
 
tmp_29020-FB_IMG_1488982441447-322688509.jpg
Mimi sio mtu wa sheria, ila ningekuwa napiga kura ningempa Lau Masha huyo kaka picha zake za kampeni zinavutia na u handsome wake fulani. Maneno mazuri katoa leo pia

Hahahaaaaaaaaaaaaa

View attachment 478144
 
Naomba mdau ikiwezekana wakili mwanachama wa TLS anieleze kwa ufupi roles and authority ya TLS ambayo inaipa hofu serikali kwamba akichaguliwa mheshimiwa Lissu atawatikisa??

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hii account hutumiwa sana kwa matangazo rasmi ya chadema.
Najua chadema sio mwanachama wa TLS.
Acheni kupiga kampeni kwenye uchaguzi usiowahusu.
TLS wanajuana wenyewe na watachaguana wenyewe.
Ninawapinga chadema kwa nguvu ileile ninayopinga kauli za Mwakyembe zinazolenga kuingilia uhuru wa maamuzi wa TLS.

Unamaanisha nini kusema Chadema wanapiga Kampeni?, acha ujinga basi maana hata huyo unayemzimikia na unayemsifia ni handsome nae pia anatoka Chadema
 
Unamaanisha nini kusema Chadema wanapiga Kampeni?, acha ujinga basi maana hata huyo unayemzimikia na unayemsifia ni handsome nae pia anatoka Chadema
Hakuna ujinga hapo.
Kiko wazi kabisa au unataka mpaka upewe cheti cha ubishi?
Unaikana account yenu ya kutanulia??
 
Hakuna ujinga hapo.
Kiko wazi kabisa au unataka mpaka upewe cheti cha ubishi?
Unaikana account yenu ya kutanulia??

Kaka sio kila mtu ni Chadema humu, wengi wanataka mabadiriko, wewe wasiwasi wako ni nini?, Lisu ni Chadema na Masha ni Chadema pia na mmoja wao lazima awe raisi wa TLS,
Hata kama upendi hiyo ndio hali halisi na unatakiwa uvumilie tu
 
Ili niendelee kuwa na imani na wanasheria wetu uchaguzi huu ni kipimo changu kupima umaridadi wao kichwani
 
Go tundu lissu goooo!
Hiki ni kipimo tosha kwa hawa wasomi wetu kama watakubali kulainishwa na maneno ya mwakyembe au laaaa
 
Kaka sio kila mtu ni Chadema humu, wengi wanataka mabadiriko, wewe wasiwasi wako ni nini?, Lisu ni Chadema na Masha ni Chadema pia na mmoja wao lazima awe raisi wa TLS,
Hata kama upendi hiyo ndio hali halisi na unatakiwa uvumilie tu
Ifuatilie hiyo account utapata jibu.
 
Ifuatilie hiyo account utapata jibu.
Shida iko wapi kwani hata ikiwa ni Account ya Chadema?, watu tunamtaka Lissu sio kwa sababu yupo Chadema bali kwa sababu tunaamini mabadiriko makubwa kwenye nyanja ya sheria hapa TZ
 
Back
Top Bottom