Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Siku JPM akitumbua mafisadi wa gesi, Kuna watu watalia hapa na Chadema watawatetea.
Huyo mlie mshangilia bungeni ndio anahusika na mikataba ya gesi na si Magufuli,endeleeni kumshangilia tu sasa mnashangaa nini,tunajua wabunge ni wanafiki ,kwani ina maana siku zote walikuwa hawajui hiyo mikataba ya gesi hadi leo wanashangaa,na Mh raisi akitaka kuipitia hiyo mokataba mnakuwa wa kwanza kusema oh raisi ataingiza nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa,huyu Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu sasa si atoe na ufumbuzi au ubunge kaanza mwaka jana

"Tumekumisiiiii Tumekumisiiiii Tumekumisiiii" hicho ndicho mlichokumbuka kwa kuwa mlikuwa mnakula pamoja, ila kumuuliza kuhusu mikataba kama hii ya gesi mlijifanya mmesahau. Tundu Lissu na wenzako acheni unafiki.
Mungu wangu, sasa hilo bomba lenyewe si tumekopeshwa? Tukimaliza kulipa deni na hiyo gesi si itakuwa imekwisha? Mi naona kama tunatwanga maji kwenye kinu tu! (Ni mawazo yangu ya ki layman tu)View attachment 495151
Ndio maana sijawai msikia Magufuli akizungumzia gesi kumbe sie tunamiliki bomba tu gesi inawenyewe.
Na JK alidanganya kuwa yeye ndo rais wa mwisho kuongoza taifa maskini maana gesi ni utajiri mkubwa
Kama kuna mtu ni Ccm..... Basi naishia hapo tu![]()
View attachment 495151
Ndio maana sijawai msikia Magufuli akizungumzia gesi kumbe sie tunamiliki bomba tu gesi inawenyewe.
Na JK alidanganya kuwa yeye ndo rais wa mwisho kuongoza taifa maskini maana gesi ni utajiri mkubwa
Wanapojadili jambo bungeni,lazima wafunge mjadala kwa maamuzi ya kura! Hata kama wachache wao wataendelea kupinga,uamuzi wa kura ya ndiyooo kwa wengi ndiyo uamuzi wa wote bungeni. Mabunge ya baadhi ya nchi nyingine kuna utofauti!Huyo mlie mshangilia bungeni ndio anahusika na mikataba ya gesi na si Magufuli,endeleeni kumshangilia tu sasa mnashangaa nini,tunajua wabunge ni wanafiki ,kwani ina maana siku zote walikuwa hawajui hiyo mikataba ya gesi hadi leo wanashangaa,na Mh raisi akitaka kuipitia hiyo mokataba mnakuwa wa kwanza kusema oh raisi ataingiza nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa,huyu Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu sasa si atoe na ufumbuzi au ubunge kaanza mwaka jana
Mikataba mibovu, wabunge wa 'Chama Cha Matesoyawatanzania waliipitisha kwa mabavu, huku wakipiga 'mayowe ya ndiooooooo... wabunge wa upinzani wao waligoma kuipitisha, basi wale wabunge wa ndio wa chama cha majangili wakajifungia wao wenyewe mle ndani usiku wa manane kwa mabavu wakapitisha ile mikataba... wakampelekea JK yeye akasaini. Kwani vipi, ulitaka JK awakatalie wabunge wa ccm alivunje bunge? Au labda ulitaka wabunge wa upinzani wamteke spika na wasaidizi wake ili wapate mwanya wa kuirudisha ile mikataba serikalini?"Tumekumisiiiii Tumekumisiiiii Tumekumisiiii" hicho ndicho mlichokumbuka kwa kuwa mlikuwa mnakula pamoja, ila kumuuliza kuhusu mikataba kama hii ya gesi mlijifanya mmesahau. Tundu Lissu na wenzako acheni unafiki.
Tena ccm yenye mwenyekiti ambaye anajifananisha na dereva wa lori?Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu anaamini ccm ?
Huyo Raisi ni sehemu ya serikali iliyoingia hiyo mikataba na alishiriki 100% kama mbunge, waziri na mjumbe ktk balaza la mawaziri.Mbona hakupinga au kujiuzulu kama aliona hiyo mikataba haina manufaa kwa nchi? CCM ni ileileeee !Huyo mlie mshangilia bungeni ndio anahusika na mikataba ya gesi na si Magufuli,endeleeni kumshangilia tu sasa mnashangaa nini,tunajua wabunge ni wanafiki ,kwani ina maana siku zote walikuwa hawajui hiyo mikataba ya gesi hadi leo wanashangaa,na Mh raisi akitaka kuipitia hiyo mokataba mnakuwa wa kwanza kusema oh raisi ataingiza nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa,huyu Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu sasa si atoe na ufumbuzi au ubunge kaanza mwaka jana
Huyo mlie mshangilia bungeni ndio anahusika na mikataba ya gesi na si Magufuli,endeleeni kumshangilia tu sasa mnashangaa nini,tunajua wabunge ni wanafiki ,kwani ina maana siku zote walikuwa hawajui hiyo mikataba ya gesi hadi leo wanashangaa,na Mh raisi akitaka kuipitia hiyo mokataba mnakuwa wa kwanza kusema oh raisi ataingiza nchi kwenye migogoro na mahakama za kimataifa,huyu Lissu kila kitu yeye ni kupinga tu sasa si atoe na ufumbuzi au ubunge kaanza mwaka jana
Mbona mbali sana ! Punguza kidogo .Ccm mwisho 2020
Elewa kuwa sisi tunamiliki mabomba tu gesi inawenyewe.Lissu ndio aliyechangia iwe hivyo ????Lissu akili yake ni kupinga tu, leo utasikia mikataba mibovu mnashindwa kuivunja sababu mnapew rushwa, kesho akisikia rais anasema mkataba fulani uvunjwa utasikia Lissu anasema rais inaingiza nchi kwenye janga la kulipa mabilioni. Ni vema Lissu achunguzwe akili yake kama huwa anafikiri vizuri.