mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
Kipicha kimehaririwa
Hata simba na Yanga wanamabasi mkuu.Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Jamani jamani mtaua watu kwa pressure
HAKIKA UMESEMATatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Level ya panya kula hela za miradi ya chama.Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi
Hilo nalo neno
Ingizeni hata milioni 10 lakini watanzania tunalipenda hilo 1 la chademaCCM wakiamua wanaingiza hata 10,000 -
NAKUAMBIA LITAKUWA LA ABIRIA KWENDA MOSHI HILOMbowe atalitaifisha. Subiri tu.
Dua la kuku hilo halimpati mwewe.CCM wenzangu tuache wivuMbowe atalitaifisha. Subiri tu.
Maskini akipata ni tabu sana - ukitaka kujua tabia za maskini mpe fedha - CCM vitu walishavizoea kitambo sana