Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa secritariate na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.

Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.

Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita

Operesheni #NoReforms NoElection

inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.
Kama kwenye chama tu mtu anageuka dikteta katili, akipewa nchi je. Mungu amewaonesha mapema watanazania rangi halisi ya hawa watu wa haki faragha.
 
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa secritariate na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge.

Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa kuhujumu au kuangusha Uongozi uliopo madaraka chini ya Tundu Lissu.

Kundi hilo linadaiwa kudhaminiwa na Freeman Mbowe aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa madhumuni ya kuonesha Umma kwamba Tunddu Lissu na Uongozi wake haukubaliki. Wengine walio kwenye hilo kundi la G55 ni John Mrema naa Mwita

Operesheni #NoReforms NoElection

inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.

Kwa Upande wake Hilda Newton ameishukuru Mungu kwa kuwaepusha CHADEMA na Catherine kwani Alikuwa anagombea UKatibu Mkuu wa BAWACHA akashindwa.
View attachment 3294110
Na Hilda Newton Chadema

Mungu fundi sana

Imagine leo story ingekuwa isomeka Katibu Mkuu wa Bawacha Taifa apinga Azimio la Chadema la #NoReformsNoElection.

Mungu awabariki sana Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Bawacha Taifa ni Kama tulikuwa mbele ya muda.😂

Ukipitia orodha ya watu waliosaini petition ya kupinga #NoReformsNoElection wote ni watu ambao kwenye Uchaguzi wetu wa ndani walikuwa wanamuunga mkono Mhe. Mbowe.

Wengine ni Wajumbe wenzangu wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama Taifa wakati tunapitisha hili Azimio la #NoReformsNoElection chini ya Mwenyekiti Mbowe na wao walipiga kura ya Ndiyooo tena kwa sauti kubwa sana.

Sasa hivi baada ya Mhe. Lissu kuwa Mwenyekiti wale wale waliopitisha Azimio hili kwenye Vikao halali sasa wametoka dharani kulipinga.

Nakumbuka siku tunapitisha Azimio hili cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Januari 2025 kwenye Kikao Mhe. Mbowe aliuliza kuna mtu yeyote mwenye maoni au swali lolote kwenye Azimio hili wote tulinyamaza Kimya kuonyesha kwamba tunaunga mkono.

Najiuliza, haya maswali ambayo wanauliza leo kwanini hawakumuuliza Mwenyekiti Mbowe wakati anaendesha kikao kilichopitisha Azimio hili?

Au walipitisha hili Azimio kwasababu walijua Mhe. Mbowe angeshinda asingetekeleza.?

Mwisho, Kama wao kiu yao ni kushiriki Uchaguzi kwanini wasiende kujiunga na akina NCCR ambao mawazo yao na wao yanafanana ili wapewe nafasi ya kugombea huo ubunge watimize hiyo kiu yao ya kuwagombea bila Reforms?
Endeleeni kupigana vijembe tu
 
Catherine Ruge akiwa amevaa Wigi

Hilda newton anawinda nafasi ya Catherine Ruge

Mziki unakuja mtaondoka na Lisu wenu Chadema

Stay tuned
 
Hakuna Aliyejuu ya Chama kwenye Demokrasia imara.

Hiki sio chama cha kuleana.
 
Back
Top Bottom