Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 12,542
- 25,787
Nipo nasikiliza press hapa yaliyofanywa yaliyo fanyika inauma Sanaa SanaaNi lazima tuwe tayari kulipa gharama kubwa kupambana na wakoloni weusi; vinginenyo, watatumaliza.
Lucas , tlaatlaah, mnafurahi kuwauwa kwa watanzania wenzetu TUNAFANYIANA IVI WATANZANIA.
Inasikitisha Sana Sanaa Kama siasa inafanya tuwe na uadui wa aina hii inauma Sanaa
Hii itatengeneza uadui mkubwa Sanaa UCHUNGU, HASIRA.