Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,362
- 2,976
Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias .
Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa kuonekana na kuwa na uwezo wa kuaccess social medias.
Kipindi hicho mtu akiwa huku mikoani au vijijini hata akitukana au akisema vibaya atasikika na familia yake au marafiki .
Siku hizi watu wanatumia social medias kufikisha ujumbe hapa kuna vitu viwili
1.Watawala sababu watu wengi wanaweza kuaccess media wanahisi wakosoaji wameongezeka na wanavuliwa nguo namna ya kudeal nao ni kuwatafuta .
2.Wananchi wanahisi matukio yameongezeka sababu taarifa zinawafikia kirahisi
Mfano : habari za kina Khagoma Malima kufia hotelini London hatujawahi tia shaka, kina Kambona kina Tuntemeke wengi wamezijua sasa hivi .
Social medias zimeanza pamba moto kwenye matukio ya kina Ulimboka ,Mwangosi ,kina Kubenea, kibanda ..nk
Inashangaza kuonekana JPM ndiye muasisi na Mama samia anaendeleza
Sitetei huu uhalifu na nina uchukia sana nimetaka tuupinge uhalifu wowote bila kujali ni kipindi gani umetokea au ulitokea .
Mwisho kabisa watanzania wenzangu tufuate ushauri wa Dotto biteko tufanye kazi siasa haiwezi kutuletea chakula mezani , Hawa wanaharakati na wanasiasa wanaingiza pesa kupitia midomo yao tusiwe wasemaji wao sana
Niwatakie siku njema