Pre GE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nguvu ya Umma Tanzania nzima karibu masaa 24 yatatimu na bado hatujaingia mitaani ?

Reaction (vuguvugu) la umma masaa 48 ya mwanzo ndiyo yatakayotupa ukweli (struggle) mapambano ya kudai madadiliko tunayaweza au ni nadharia iliyo na matamanio bila kusukumwa na vitendo endelevu visivyokoma vitadhihirika.
 
Inadaiwa leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Inadaiwa pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.

Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini

View attachment 3298983
ni vizuri asalie korokoroni,
kisha J3 wampeleke mahakamani ili iwe fundisho kwa wahalifu wa aina hii wanaojificha nyuma ya mikutano ya hadhara kwa mgongo wa kisiasa :NoGodNo:
 
Nguvu ya Umma Tanzania nzima karibu masaa 24 yatatimu na bado hatujaingia mitaani ?
Lissu alimnanga Mbowe kuwa kachoka Mara goi goi Mara kalamba ati kaitisha maandamano kajitokeza yeye na mwanae tu haya kiko wapi?

Walimu kana sana Mbowe kwa mindset hizi hizi ambazo Leo zimeshindwa Kuanzisha tafrani hata pale uwanjani.

Hivi Kenya Polisi wangeweza mchomoa Odinga au kiongozi wa upinzani mbele ya umati kama ule?
 
Lissu alimnanga Mbowe kuwa kachoka Mara goi goi Mara kalamba ati kaitisha maandamano kajitokeza yeye na mwanae tu haya kiko wapi?

Inasikitisha sana umma wa watanzania upo hoi dhoofu hata tubadilishiiwe 'mwokozi' toka kwa masiha Freeman Mbowe hadi masiha Tundu Lissu tupo wagumu kujiokoa.

Tundu Lissu naye anaweza kuchoka na kubwaga manyanga katika hali ya kustaajabisha heri Mbowe alibwaga manyanga katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA kwa heshima kubwa.
 
Inadaiwa leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Inadaiwa pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.

Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini

View attachment 3298983
Sikuwa nafahamu vyema ya kampeni ya Chadema ya NRNE ila baada ya kukamatwa Lissu jana rafiki zangu wa Marekani na Uingerereza wamenifafanulia nini kinaendelea na sasa nimejua hiyo kampeni...Hii ni mbaya saana kwa Taifa letu ila wasichokijua kuwa huu ni mtego ambao vyama vya upinzani wamekuwa wakiutumia kupata wafuasi wengi...na mmesadia saana kusukuma ajenda ya Chadema ya NR NE...au mmetumwa na Yanga manake mmetufanya washabiki wa Simba tusahaau ushindi wetu wa jana
 
Anaanza kupita njia za Mbowe zile ambazo Doctor Silaha alisema anakasirishwa sana na wanaosema Mbowe sio gaidi.Jamani tuweke akiba ya maneno,tumuombee tu ili wenye maamuzi ya kuwapa watu kesi wasimpe kesi ngumu Lisu.
halafu wamemkariisha chadema kumkomoa Mbowe, stupid!
 
Inadaiwa leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Inadaiwa pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.

Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini

View attachment 3298983
Siku waasi wakitokea Tz naungana nao , ccmu wana dharau za kitoto sana
 
Back
Top Bottom