Tundu Lissu adai Rais Samia ana mpango kama wa Hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2025 wa kuiba kura, Mbowe amwangalia kwa mshangao!

Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020.

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao.

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
😀😀😀😀😀😀😀

Ila Joh unajua kunogesha habari.
Hata kama habari haivutii ila wewe unaweka chachandu.
 
Kwani Tundu Lissu huko Ubeligiji alikua anasomea upigaji ramli? Na kama ndivyo yatupasa kua makini hizi ni Ramli Chonganishi anazofanya na ndio maana Mbowe amemshangaa. Watanzania tusikubali kuchonganishwa na wapiga Ramli (Lamba Lamba).
 
Lissu anaposikia maridhiano anaelewa vipi? Zanzibar kila uchaguzi huwa wanaridhiana je kipi CUF au ACT walifaidika nacho?
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020.

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao.

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Wewe akili ndogo...be Intelligence!!!
 
Nisahihi kabisa asemalo Lisu

Zingatia kwamba tayari Sheria ya usalama wataifa mabadiliko yake ,kuwa chini ya rais mojakwamoja
 
Lisu anatumiwa na mbowe kufikisha ujumbe ,hoja za lisu ndio hoja za mbowe sema mbowe ni muoga Kwa sasa kuhusu kesi zake zilizowekwa pending

USSR
Siyo muoga bhana dhambi ya kulamba asali ndio inamtafuna huyu mzee ndani kwa ndani .asali ikiexpire atamuung a mkono kamanda Lissu .
 
Back
Top Bottom