johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,970
- 169,996
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020.
Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao.
Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake
Nawatakia Dominica njema!