Tundu Liisu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,431
50,398
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
 
Kila jambo na wakati wake , kila jambo lina muda sahihi kutekelezeka, ikifika muda sahihi waTanzania wataandamana pasipo hata kuambiwa na wanasiasa.
 
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
Wakati mnamchagua mlitegemea nini kipya? Hela hamna na watu hawaandamani.
 
Tukishafilisiwa na kuuziwa Kila kitu!
Ndio, labda itakuwa ni muda sahihi, ni ngumu kwa sasa waTanzania kufanya maandamano kwa sababu.
1- Wamepoteza imani na siasa za Tanzania.
2-Ukandamizaji na uonevu wa vyombo vya dola.

Ikiwezekana kutafutia ufumbuzi hayo mambo yanayofanya waTanzania kutoandamana, labda wataingia barabarani...
 
MTWARA. kwao ni issue ndogo sana kupinga jambo fulani kwa maandamano walikuwaga na kaulimbiu zao "HAITOKI" & "GAS KWANZA, VYAMA BAADAE" yani kila ambapo ulisikika mlio wa risasi au mlipuko raia wanasema "HAITOKI". anachotakiwa kukifanya mwenyekiti ni kuunda alliance itayojumuisha wamakonde, wamwera, wayao na wamakuwa. ukija kuongezea na ile shari iliyojaa kwenye vichwa vya wamasai, central midfield wanacheza wasukuma, winger ya kulia wanacheza wahaya, kushoto waha, striker wanasimama wakurya. ila wadigo hatuwataki ni wazembe sana
 
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
Maandamano huwa hayapangwi Wala kushawishiwa, huibuka tu

Chadema huwa wanafanya matembezi ya Mshikamano
 
Mmejengewa kuamini eti watanzania ni waoga, hawawezi kuandamana. Huo ni uongo, na ni mbinu ua watawala kuwakatisha tamaa watu kuwa kuandamana hakuwezekani.

Ni sawasawa na mkoloni alivyowajengea waafrika imani kuwa hawana akili.

Watanzania wanaweza kuandamana iwapo sababu za kuandamana zitakuwepo, Watanzania wakazikubali sababu hizo, tatu zikatumika mbinu za kuwashawishi kuandamana, mipango ya maandamano ikafanywa vizuri, na viongozi wakaonyesha mfano kwenye kuandamana.

Ukiachilia mbali kuandamana zipo CIVIL DISOBEDIENCE tactics nyingine nyingi tu za kuitia kibano serikali ya CCM mpaka ikaona joto la jiwe!
 
Lisu na Chama chake watagomea Uchaguzi, wataitisha Maandamano vijana wa hovyo tutaandamana online.
Zito na chama chake kinaenda kua chama kikuu cha upinzani Bungeni

Kwani CHADEMA wanapata faida gani kutupigania?. Au Vyama vingine vya upinzani vikiingia bungeni inatusaidia nini kama hakuna reforms za kusaidia Taifa?.

Kazi ya kubadili hali ya nchi ni yetu sote, si ya chama kimojakimoja au mtu!
 
Back
Top Bottom