Tuncel:"DNA ya Bayern Munich ni Ushindi tu"

Dayot upemacano anagawana mshahara na tuchel

Mechi ya 1 kasababisha goli 2

Mechi ya 2 kanusurika umeme kasababisha penati kasababisha goli lakn hakutolewa h nje Kama substution

Kuna watu wanabahati zao

Mane n flopp pale Bavarian
 
Aisee Mane hajaflop ni basi tu kakosa formation nzuri ila naamini under TT atajipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom