KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,702
- 4,209
Na KENGE,
25 March 2023 ni siku ambayo Kocha Thomas Tuchel(TT)anasaini mkataba wa kuinoa miamba ya ujerumani Bundasliga BAYERN MUNICH baada ya kumfuta kazi Julian Nagelsmann.
Katika EXCLUSIVE Interview TT ameweka wazi sababu ya yeye kukubali kwa haraka dili la kuwanoa miamba hao wa Bayern moja wapo ikiwemo historia nzuri ya ushindi wa makombe waliyonayo miamba hao wa Ujerumani.
"Nilikubali kwa haraka kuifundisha bayern kwasababu team hii ina vinasaba (DNA) vya ushindi" Amesema TT
Licha ya kuwindwa na team nyingi kubwa ikiwemo Tottenham na R.madrid kocha TT amesema amekuwa akipokea ofa nyingi baada ya kutimuliwa CHELSEA lakini ofa ya kuinoa bayern aliipa kipaumbele na kuikubali kwa haraka zaidi.
Ameongeza
"Bayern inakikosi ambacho kinaweza kucheza EPL na kushinda back to back na naamini ndio team tishio baranu ulaya"
"Ninayo Furaha na uhakika tutashinda makombe yote yatayokatiza mbele yetu"
Ikumbukwe TT alishinda Kombe la UEFA champions dhidi ya Man.City ndani ya mwaka mmoja akiwa chelsea na kwasasa team yake mpya Bayern inashika nafasi ya pili Bundasliga ikizidiwa point moja na B.Dortmund pia Ipo hatua nzuri ya Robo fainali UEFA Champions league huku akipangiwa na mahasimu wake wababe wa wingereza MANCHESTER CITY
Je Bayern wamelamba dume kwa TT?
Pia soma>>
www.jamiiforums.com
Tunachokijua!!

Je, ni kweli Soka la kisasa limeondoa ladha ya mpira?
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu, Mwaka 2010 FIFA ilitangaza rasmi mapinduzi ya technolojia katika mpira wa miguu, hii ni baada ya Kombe la Dunia lililopigwa South Africa kwa Madiba. Modern football inayoongelewa hapa ni baadhi ya mambo yaliyofanyiwa mabadiliko katika Sheria za Mpira wa miguu...
Tunachokijua!!
KENGE 01