Umemchoka nani sasa sisi wcb ukileta ujinga tuna marry you ata makonda anatuogopa sana
Watanifanya nn wakiwa hukuHaya baba jisifie tu kuna wenye nchi hii wako humu humu awamu ya mkulu hii mdomo usikuponze muogopwe nyie Nani fyu ovyo acha maneno wema mziki Hina sifa ya kujigamba
toka lini?nilimfundisha baba yako
akirudi j3 afikie centralKafungue uzi wako wa kibakuli mwenye sauti ya kishoga huku ni simba tu boya sana ww
Wabeba unga wanaitwa punda,umesahau boy???Simbaaaaaaa
Seder and eDiamond platnumz ashinda tuzo za
Hipipo Awards 2017.
Ameshinda categories mbili
1.QUINQUENNIAL AFRICA MUSIC VANGUARD AWARD (2012-2016)
2.BEST VIDEO EAST AFRICA-SALOME.