~*~ Tunawaudhi ~*~

nothing new ! yooooote yameongelewa kwenye threads lukuki humu, whats new ? NOTHING.... sasa propaganda kama kawaida ! haya wazee msifieni saddam hussein huyoooooooooooooo.....anakuja ! muimbieni nyimbo nzuri nzuri na mumtupie maua ili afurahi !

Ah,mbona ukimwi umekuwepo kwa zaidi ya miaka 20 sasa na tiba haijapatikana lakini harakati dhidi ya gonjwa hilo bado inaendelea?

Quitters never win,and winners never quit.
 
jamani hii mada ni ya 2008; so wengine mnaojibizana nao hawapo tena na wengine wameshatangulia mbele ya "haki"..
 
Jaribuni kufikiria bila "maudhi" yetu haya Nchi ingekuwaje sasa. Tusikate tamaa. Tunafanyakazi takatifu sana kwa ajili yetu na vizazi vijavyo. Kelele hizi hasa za maandishi hawana namna ya kuzifuta.
 
wee unalipa kodi wapi ?? wangapi humu jf mnalipa kodi tanzania ??

Watu kama wewe KM ni Kenge tu!, hili umeambiwa ni jukwaa la jamii na wala si kona ya kujibizana, hiki si kijiwe cha majungu wala cha kuvuta bangi. unashindwa kujadili mambo ya maendeleo matokeo yake unapindisha thread tu. ndio kazi iliyokuweka hapo kwenye kompyuta siku nzima.

Ushauri wa bure. TOA HIYO NEMBO YA TAIFA KWENYE AVATAR.
 
Mhe. Mzee MwanaKijiji,

Nakubaliana nawe asilimia mia moja na Mada yako "Tunawaudhi". Naamini pia kwamba Watanzania wengi wanaanza kuwaelewa wazalendo wa aina ya MMK.

Pendekezo langu ni kwamba niwasiliane na wewe binafsi; ikiwezekana tuzungumze ana kwa ana, jinsi ya kusaidiana kuendeleza haya mawazo. JF watakupa e-mail yangu.
 
Duh nimecheka sana. Jamani hivi Kadampinzani katorokea wapi? Kada kama upo ni PM tupige ma-story kidogo. Khe khe kheeeee.


Najua mimi niko tayari! sijui wewe.. lakini huko tunakokwenda, ni wale walio tayari kusimama peke yao na pweke ndio wataliinua Taifa letu na kulifanya liwe jinsi ile tulitamanivyo liwe! Stand up and be counted otherwise sit down and be forgotten!
 
Lazima useme na pia kama kweli unalipenda taifa letu basi ni vizuri sana kusema na kama wao wanakataa basi waende kuishi pekee yao kisiwani
 
Back
Top Bottom